A
Anonymous
Guest
Mimi ni mtumishi wa umma niliyeomba mkopo kupitia mfumo wa ESS katika Benki ya CRDB. Baada ya makato yote, nilitakiwa kupokea kiasi cha TZS 1,558,746.63, lakini cha kushangaza niliingiziwa TZS 892,820.23 pekee.
Nilifanya mawasiliano na benki kupitia tawi nililoombea mkopo, lakini sikupata muafaka kutokana na maelezo mengi yasiyoeleweka. Niliamua kuandika barua mwezi Julai 2026 kuhusu makato hayo makubwa, nikajibiwa kwa picha ya skrini niliyoambatisha.
Tangu wakati huo nimekuwa nikifuatilia, lakini mpaka sasa sijapata majibu kuhusu kiasi cha fedha kilichobaki. Kero yangu ni Benki ya CRDB.
Soma Pia: CRDB mmezidi na mnakatisha tamaa