CRDB, nini tofauti ya salio iliyopo na halisi?

CRDB, nini tofauti ya salio iliyopo na halisi?

Kama ishu ni mtandao mbona laki imekubali kutoka wakati hiyo nyingine wamezuia kuitoa...

Plus inakuaje wakate 15974, maana kuna hela niliacha humo nakuta nikaenda kwenye mini statement nakuta wamenikata hicho kiasi...

Huu si wizi kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajakata bali ww umeitoa hiyo pesa.. lkn pia ukumbuke makato kuanzia 100000 ni makubwa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nayo tu mkuu tafuta njia nyingine ya kutatua tatizo lako saa 5 ucku saa hizi
Ilikuwa nikapige kitimoto na shemeji yako anyway wameniambia kuwa imeshikiliwa watanijuza j3 why wameishikilia..

Na hiyo 15974 wameniambia ni makato ya service card kwa mwaka...

Aisee nilifanya jambo la maana kuhamia NBC...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom