Hawajakata bali ww umeitoa hiyo pesa.. lkn pia ukumbuke makato kuanzia 100000 ni makubwa sana..Kama ishu ni mtandao mbona laki imekubali kutoka wakati hiyo nyingine wamezuia kuitoa...
Plus inakuaje wakate 15974, maana kuna hela niliacha humo nakuta nikaenda kwenye mini statement nakuta wamenikata hicho kiasi...
Huu si wizi kabisa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya basi kwenye 28000 inatakiwa nitoe kiasi gani ili niwaachie hiyo 9000Hawajakata bali ww umeitoa hiyo pesa.. lkn pia ukumbuke makato kuanzia 100000 ni makubwa sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa hiyo 120000 haitoki kabisa embu jaribu kufanya muamala uone...Actual Balance: 129,400.23
Available Balance: 120,400.23
Yes haitoki maana kuna 900 ya ATM Fees na Pia Hauwei Kutoa 119,000 maana hela ni multiple ya 10,000/= hapo utatoa 115,000 tu hiyo elfu 4000 utanunua umeme.Ukitoa hiyo 120000 haitoki kabisa embu jaribu kufanya muamala uone...
Hawa jamaa washaanza kuwa matapeli aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanikiwa kutoa laki bado hiyo 18000 imekuwa mtihani nimeshuka hadi 10000 bado inagoma kabisaYes haitoki maana kuna 900 ya ATM Fees na Pia Hauwei Kutoa 119,000 maana hela ni multiple ya 10,000/= hapo utatoa 115,000 tu hiyo elfu 4000 utanunua umeme.
Nimefanikiwa kutoa laki bado hiyo 18000 imekuwa mtihani nimeshuka hadi 10000 bado inagoma kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa nikapige kitimoto na shemeji yako anyway wameniambia kuwa imeshikiliwa watanijuza j3 why wameishikilia..Achana nayo tu mkuu tafuta njia nyingine ya kutatua tatizo lako saa 5 ucku saa hizi
Kama kuna mtu anataka Umeme mnunulie uchukue hiyo 18 mkononi,ilitakiwa 10,000 itake hadi 15,000.Nimefanikiwa kutoa laki bado hiyo 18000 imekuwa mtihani nimeshuka hadi 10000 bado inagoma kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
CRDB sio wastaarabu kabisa.. Hawana umakini na pesa zaa watu. Sijajua Kama mshahara wako unapitia uko wanakata vitu vingi Sana. Hawako makini kabisa ujanja ujanja mwingi sana.Ukitoa hiyo 120000 haitoki kabisa embu jaribu kufanya muamala uone...
Hawa jamaa washaanza kuwa matapeli aisee
Sent using Jamii Forums mobile app