Labda kwa mwaka sio kwa mwezi....we buku tatu sio mchezo bana!!Isae!
Una uhakika kwamba unakatwa elfu tatu kila mwezi?
mimi pia ni mteja mwenye akaunti yangu na ya mtoto,nijuavyo mimi benki ilitukata elfu 3,000 mwezi wa nane kama malipo ya card ya visa!
sidhani kama wateja wote wa CRDB nchi nzima wangekaa kimya kwa kukatwa elfu tatu kila mwezi!kuwa mkweli ndugu yangu
Brooklyn,
That is a very serious accussation! Do you have facts that the Bank is cooking its financials? How about other Banks? Hapa mimi naona kwamba huu ni uonezi wa hali ya juu kwa benki ya CRDB ambayo imeuinua uchumi wa nchi hii na watanzania kwa ujumla. Hao wanaouwatuma kuwa makuadi wawe wanawapata na facts. Tuwe professionals tusiwe wazushi, wajinga . Watanzania tumeelimika tuna-analyse mambo sio kusikiliza majungu. kama mtu huna kazi au una personal grudge na mtu au unakuwadi kwa ajili ya benki fulani ukumbuke kwamba benki ya CRDB ni ya watanzania. Unachofanya unawakuza wazungu. Mimi nilinunua share toka benki ilipoanzishwa tena 1996 toka mwaka unafuatia mpaka leo napata dividend yangu kila mwaka na imekuwa ikiongezeka. je wangekuwa wapika mahesabu dividend ingetoka wapi? tena nono? Naomba utupe facts na sio hearsay.
Asia mi nafikiri una panic bure, ukirejea post yangu iliyopita nilikuwa najibu hoja ya kwamba "eti hata hao jamaa wakiuza share zao CRDB can still float its shares". Hili ndilo nililokuwa nalizungumzia, na nimelieleza kitaalamu kabisa. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mienendo ya masoko ya Hisa utafahamu kuwa perception ya market players ndio ina athiri kwa kiwango kikubwa kupanda ama kushuka kwa bei za hisa (let alone the performance).
Utaona hata katika GFC inayomalizika hivi sasa, kampuni nyingi ziriathirika kutokana na perception ya market players. Ndio maana soko la hisa la NY na London yalipotetereka moja kwa moja tukaona masoko mengine ya ulaya na asia yakianza kuterereka.
CRDB kumilikiwa na watanzania si kinga ya kutoanguka wala kutopika financials zake (sisemi kama wanapika). Utakumbuka kwamba Enron ilidondoka miezi 9 tu baada ya kutangaza faida ya mwaka uliotangulia (na pia miaka 12 nyuma ilikuwa ikipata faida tu). Kwa hiyo wewe kupata gawio toka CRDB Ltd ianzishwe si kinga ya share zake kutoporomoka!! Enron hao hao August 23, 2000 price per share ilikuwa US$ 90 na Nov 28, 2001 bei ikashuka mpaka kufikia below US$ 1.
Ndio maana nika emphasise katika kuimarisha CMSA na DSE ili ziweze kutusaidia wawekezaje si wa CRDB tu bali watanzania kwa ujumla!!
Sina hard feeling na CRDB bali huo ni mtizamo wangu huru tu.
Tuambiane ukweli hata kama unauma
CRDB can float the same shares through IPO if these investors go! let them go. there was a massive over subscription during the last offer. it is nt a big deal.
Labda hili jambo ulitaka uambiwe na mzungu ndio uamini eeh? Mbona Serikali walipojitoa, Benki ikauza share zake kwenye soko la hisa, na wabongo waka subscribe hadi share zikaisha na wengine wakakosa. Mbona si zamani sana kusema eti hukumbuki?Unazungumzia kufloat, unajua balance ya demand na supply ikoje? Wakifloat zitauzwaje? Bei itakuwaje? Issue si kufloat tu
ceteris paribus, tunaambiwa CRDB iko vizuri. kwahiyo usiwe na hofu ndugu.Massive over subscription mzee si kigezo cha utendaji mzuri wa kampuni kibiashara.Capital base iki collapse hizo IPO shares zinabaki kuwa worthless pieces of papers.Walioko Marekani,Europe na Japan wamejifunza hili the hard way.
Sijui dhana ya uzungu umeitoa wapi hapo? Unaissue share huku ukitoa sababu kuwa kuna watu wanatoa share zao kwa sababu hawaridhishi na utendaji wa benki. Unadhani kuna rational investors watanunua? Image ya benki hapo inakuwaje? Km benki inahusika na pesa chafu, km unakumbukumbu na ile benki ya Italy, unadhani nini kitafuata? Regulators wakiingia kati?Labda hili jambo ulitaka uambiwe na mzungu ndio uamini eeh? Mbona Serikali walipojitoa, Benki ikauza share zake kwenye soko la hisa, na wabongo waka subscribe hadi share zikaisha na wengine wakakosa. Mbona si zamani sana kusema eti hukumbuki?
Kwahiyo hata hao wakijiondoa, the same approach can be taken!!
Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.Hoja inayojadiliwa hapa haina msingi imara, inaonyesha wengi hatuelewi haya mambo ya hisa na uhamishaji wake hasa kampuni inapokuwa imesajiliwa kwenye masoko ya hisa na mitaji.
Nashauri tujielimishe zaidi juu ya mambo haya, hasa mleta hoja. Nitakuwa wa kwanza kumpongeza kama atakuja siku moja na hoja yenye kutuelimisha zaidi baada ya yeye mwenyewe kufanya utafiti zaidi.
KWA WAFUATILIAJI WA MAMBO YA HISA TATIZO LA CRDB KWA SASA NI KUSHUKA KWA KIWANGO CHA AJABU CHA BEI YA HISA YAKE SOKONI. BEI YA HISA YA CRDB KWA SASA NI SHILINGI 157/= TU NA INAENDELEA KUSHUKA. HILI NDILO BOARD NA MANAGEMENT INATAKIWA KUTUPA MAJIBU SAHIHI. NAYAKUMBUKA VIZURI MAJIBU YAO KWA MH. MUNGAI HAPA ARUSHA KWENYE MKUTANO MKUU MWAKA HUU. NITAFURAHI KUPATA MAJIBU.
inasikitisha kwamba forum hii ya great thinkers tunazungumzia jambo la uzushi kwa benki ambayo ndio imebeba uchumi wa tanzania.
Je tunayo elimu ya kutosha kuhusu masoko ya hisa na utendaji wake au tunakurupuka tu? Kwa nini tusiombe wataalamu wakatusaidia?
Hii ni forum nzuri ya kuzungumzia maendeleo ya uchumi wa nchi yetu lakini sio uzushi tujikosoe wenyewe tubadilike.
Mungu ibariki tanzania! Mungu ibariki benki yetu ya crdb
Brooklyn,
That is a very serious accussation! Do you have facts that the Bank is cooking its financials? How about other Banks? Hapa mimi naona kwamba huu ni uonezi wa hali ya juu kwa benki ya CRDB ambayo imeuinua uchumi wa nchi hii na watanzania kwa ujumla. Hao wanaouwatuma kuwa makuadi wawe wanawapata na facts. Tuwe professionals tusiwe wazushi, wajinga . Watanzania tumeelimika tuna-analyse mambo sio kusikiliza majungu. kama mtu huna kazi au una personal grudge na mtu au unakuwadi kwa ajili ya benki fulani ukumbuke kwamba benki ya CRDB ni ya watanzania. Unachofanya unawakuza wazungu. Mimi nilinunua share toka benki ilipoanzishwa tena 1996 toka mwaka unafuatia mpaka leo napata dividend yangu kila mwaka na imekuwa ikiongezeka. je wangekuwa wapika mahesabu dividend ingetoka wapi? tena nono? Naomba utupe facts na sio hearsay.
Hi, Jamani mimi ni mgeni hapa ndani naomba mnipokee tuchangie wote ili kusukuma gurudumu hili.
Ni point nzuri kuna issue ya institution investor km ulivyosema na mwishoni unakiri mchango wa uongozi wa DANIDA umeisaidia benki kufika hapo. Sasa km faida ya benki inategemea uongozi wa kundi linaloondoka unadhani institution ipi ipo tayari kupeleka pesa sehem ambapo ina my opinion hapako stable? Maana wataingia watu wengine ambao uzoefu wao haufahamiki kama DANIDA, in the end hata instituions zenyewe zitakuwa na uwezo wa kubargain share price na ndio hapo poromoko la bei linaanzia.Kama walivyosema wachangiaji na uzoefu wa soko letu, kinachotokea Huko nje ni tofauti na hapa. Wale wataalamu wa masoko ya fedha na uchumi wnajua fika soko letu liko tofauti na mara nyingi lina-behave tofauti na nadharia zao wataalamu hawa. Angalia kila jumatano pale benki kuu ni pesa ngapi zinakosa kuwekezwa (weekly/monthly auctions) kwenye dhamana za serikali na zinabaki mikononi mwa watu? Hizi na institutional investors wengi watazigombania hisa za DANIDA mara moja zikeinda sokoni. Mimi wasiwasi wangu ni kwamba wakiondoka Danida, mchango wao katika uongozi wa benki tutaukosa sana !!! Najua wengi watajiuliza sana, lakini hao jamaa wanamchango mkubwa sana katika uendeshaji wa benki-japo nao wanamatatizo yao kiasi.
Ikumbukwe wakati benki hii inachungulia kaburi ni Danida kwa uzoefu wao ndio wakaingia pale na kubuni mpango mkakati wa kuifufua na wakaja na suala la kuuza hisa kwa wanachi, vyama vya ushirika na wakaweka ceiling za kununua hisa kwa mtu mmoja na makampuni, benki ikaamka na sasa inatesa.
Do you think IPO subscribers in Tz behave rationally? They oversubscribed CRDB shares at the time when there was information that the bank was also involved and facilitated money laundering process. (EPA) case! though, CRDB management constantly denies these allegations.Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.
Jingine ambalo limesababisha kushuka kwa share ni vile NMB walivyofloat share zao, investors wakawa wanachoice nyingi na appertite pia ikabadilika.
Angalizo; Share price sio lazima ziongezeke zinaweza kupungua pia, rejea TOL na FTSE 100, utaona ni kiasi gani shares za kampuni ziliporomoka.
Account nyingi za scam ya EPA zilifunguliwa CRDB!Bikla shaka Kimei anajua everything,wafanyakazi wa hayo matawi etc.CRDB kuna collusion kati ya Bodi ya Wakurugenzi,na Uongozi wa Benki.Ni aibu,lakini hii ni bongo,uswahili,ujinga,upumbavu,unyani etc.