CRDB SIM BANKING APP NINI SHIDA?

CRDB SIM BANKING APP NINI SHIDA?

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
 
Mimi mbona natumia fresh tu, unakwama wapi?
 
Back
Top Bottom