Crdb Sim banking

Crdb Sim banking

Emaster037

Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
24
Reaction score
6
Nimebadirisha cm najarbu kuingia kwenye hii cm mpya ingaoma inasema hyo namba imeahatumika Nifanye msaada
 
umebadili simu au ume-renew line!? maana kwa ninavyojua uki-renew line ndio huwezi kuwa na access na hiyo huduma hadi ujisajiri upya.. ila sio kubadili simu!
Yupo sahihi. Hata mimi nilibadili simu nikapata tatizo hilo.
 
Sio kweli,kama umeswap lain upya ndo tatzo lakin sio simu,,ss swal la kijiuliza tu ili usionekane kilaza,pale unapoanzisha huduma hii ka5ika simu yako je unawekaga namba za simu au model ya simu?

Hii sio huduma ya mkopo wa tala ndo wana utaratib huo wa kuuliza simu gan unatumia na ukibadili simu wanakuambia kbsa namba yako haiendani na namba ulioisajili mpk uib maswali tena upya.. Ila sim banking ni namba yako tu ya lain ya simu..
 
Afu kwa waajiriwa wapya salary advance mbona inashindikana?
 
Sio kweli,kama umeswap lain upya ndo tatzo lakin sio simu,,ss swal la kijiuliza tu ili usionekane kilaza,pale unapoanzisha huduma hii ka5ika simu yako je unawekaga namba za simu au model ya simu?

Hii sio huduma ya mkopo wa tala ndo wana utaratib huo wa kuuliza simu gan unatumia na ukibadili simu wanakuambia kbsa namba yako haiendani na namba ulioisajili mpk uib maswali tena upya.. Ila sim banking ni namba yako tu ya lain ya simu..
Hyo apo screen shot yaani nilifanya kubadili cm2 sio ata lain ndo inagoma kuingia tena
Screenshot_20180411-133440.jpg
 
umebadili simu au ume-renew line!? maana kwa ninavyojua uki-renew line ndio huwezi kuwa na access na hiyo huduma hadi ujisajiri upya.. ila sio kubadili simu!
😀😀😀 you are bad!
 
Sio kweli,kama umeswap lain upya ndo tatzo lakin sio simu,,ss swal la kijiuliza tu ili usionekane kilaza,pale unapoanzisha huduma hii ka5ika simu yako je unawekaga namba za simu au model ya simu?

Hii sio huduma ya mkopo wa tala ndo wana utaratib huo wa kuuliza simu gan unatumia na ukibadili simu wanakuambia kbsa namba yako haiendani na namba ulioisajili mpk uib maswali tena upya.. Ila sim banking ni namba yako tu ya lain ya simu..[/QUOTE

.
Halafu unajua unavyobisha tatizo ambalo limempata mwenzio bila kumsikiliza unakuwa mtu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom