CRDB Tanzanite Account -Mapungufu.

CRDB Tanzanite Account -Mapungufu.

Kuna swali halijajibiwa, je unamawazo gani kuboresha hii account?
 
Benki zingine zipo wapi? kushindana na hawa CRDB?...hayo mabenk makubwa ambayo yana matawi UK, US etc..wamefanya nini?

Infact Bado mfumo mzima wa IT wa Bank ni mdogo MNO. na HUU unatokana na Kitengo cha IT cha BOT KULALA au kuweka watu ambao hawana esposure au THINK TANK. Infact Mfumo mzima wa Kibenk BOT lazima iwe ahead of All Banks.

BOT pamoja na kuwa na fedha nyingi lkn hadi sasa hawajafanya kitengo cha IT kuwa up to date. Leo hii ukienda ktk ATM ya NBC na wewe ni mteja wa CRDB huwezi kutoa pesa...why? its true CRDB, NBC na nyingine hawawezi kufanya wao alone..BOT should be in btn.

Back to CRDB issue. Binafsi watz bado wavivu MNO....ULEVI tumeweka mbele... na haya mambo huwezi kuya notice ukiwa umefanya kazi Bongo tu bila kupata esposure. Ukiwa UK, US unaweza jua ninachokiongea. Hawa customer support wao sijui kama wanafanya kazi effective.huduma(ATM) 24hr, lkn support 6hrs HOW?
 
Hilo la Tanzanite Account Mimi silijui ila ninachojua CRDB wana mapungufu mengi sana kwa mfano limoja naomba kama kuna anayebisha basi awasilia na mimi kwa maelezo zaidi kup[itia kitalolo@gmail.com hawa jamaa huku mikoani unaaply Tembo kadi iwe ya kawaida au visa kuipata inachukua mwaka mmoja mimi tangu mwezi wa tisa hapa arusha nasubiria kabi eti siwezi kutumia ATM mpakasasa yaani hapo tangu ni apply ni miezi saba sasa imepita nilichukua mwaka mmoja hapa arusha kufungua akaunt yangu ya biashara mpaka nikapoteza kazi kwasasa pesa ilikuwa zilipwe kupitia hiyo akaunt ambayo ilikuwa na jina la kampuni eti kipindi chote hicho walikuwa wanafanya mawasiliano na makao makuu ambayo ni dar sijui kama bwana kimei anajua hilo bado inaniudhi kwavile bado ninabenki nao ila kwasa nimekwishafungua ac zangu nyine bank nyingine si unajua mambo ya soko uria?? sasa hii kama ningeweza kupata mawasiliano na bwana kimei ningemwekleza mambo mengi san ambayo nafikiri yangeweza kuisaidia kuborehs benk hii najua huko juu hawajui matatizo yaliyopo huku chini tafadhali kama kuna mmoja anaweza nitumia mawasiliano ya kamao makuu ili niweze kuwajulisha hili
 
Leo hii ukienda ktk ATM ya NBC na wewe ni mteja wa CRDB huwezi kutoa pesa...why? its true CRDB, NBC na nyingine hawawezi kufanya wao alone..BOT should be in btn.
Hadi sasa ukitumia ATM unachajiwa hela, hata ATM iliyoko nje ya bank! hizi mashine kwao ni source of income wakati zinatakiwa zi aim kupunguza foleni zisizo za lazima na kumpa mteja access na hela yake masaa 24 kila siku. Kioja kingine ni kwamba zile zilizoko mitaani zinafungwa usiku!
Nakubaliana nawe Chuma kwamba BOT pamoja na mabenki yetu yote yamelala, hadi leo hii hatuwezi kufanya transactions online kwa kununua items zinazouzwa nje ya nchi, ukiona kitu kwenye mtandao inabidi upige simu huko kilipo then u arrange namna ya kutuma Cash na hii inatoa mwanya mkubwa sana kwa matapeli kuendelea kutuliza!
 
Hilo la Tanzanite Account Mimi silijui ila ninachojua CRDB wana mapungufu mengi sana kwa mfano limoja naomba kama kuna anayebisha basi awasilia na mimi kwa maelezo zaidi kup[itia kitalolo@gmail.com hawa jamaa huku mikoani unaaply Tembo kadi iwe ya kawaida au visa kuipata inachukua mwaka mmoja mimi tangu mwezi wa tisa hapa arusha nasubiria kabi eti siwezi kutumia ATM mpakasasa yaani hapo tangu ni apply ni miezi saba sasa imepita nilichukua mwaka mmoja hapa arusha kufungua akaunt yangu ya biashara mpaka nikapoteza kazi kwasasa pesa ilikuwa zilipwe kupitia hiyo akaunt ambayo ilikuwa na jina la kampuni eti kipindi chote hicho walikuwa wanafanya mawasiliano na makao makuu ambayo ni dar sijui kama bwana kimei anajua hilo bado inaniudhi kwavile bado ninabenki nao ila kwasa nimekwishafungua ac zangu nyine bank nyingine si unajua mambo ya soko uria?? sasa hii kama ningeweza kupata mawasiliano na bwana kimei ningemwekleza mambo mengi san ambayo nafikiri yangeweza kuisaidia kuborehs benk hii najua huko juu hawajui matatizo yaliyopo huku chini tafadhali kama kuna mmoja anaweza nitumia mawasiliano ya kamao makuu ili niweze kuwajulisha hili

Kaka hawa Jamaa zetu wana uzembe Mkubwa Sana...
Ila unaweza watumia email...kama ifuatavyo:
cskimei@crdb.com ---KIMEI
jopedersen@crdb.com---MSAIDIZI wa KIMEI
crdb@crdb.com
customer-hotline@crdb.com

Link ya contact ni hizi http://www.crdb.com/contacts.htm

Kiufupi...Ukiandika Email..basi Kimei atakujibu the same day...na tatizo lako within one week litakuwa limekwisha!!!.

Wengine tusiache kushauri hawa wenzetu..Bahati Mbaya ni kuwa SAFARI za NJE hazija wasaidia hadi sasa...Wao Nje ni SHOPPING...kujifunza systems za Utawala hawafanyi...
 
Back
Top Bottom