CRDB, This is nonsense!

CRDB, This is nonsense!

Hiyo mikataba ipoje? Kama mteja ananunua airtime, ni operator ndiye anayefaidika zaidi kuliko bank, kwa hiyo kimantiki nilitegemea operator asiweke kikwazo chochote mtu anapotaka kununua airtime. Kimsingi, the process should be smooth kama vile unavyoweza kununua voucher.

Ni kweli kabisa kiongozi
 
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya CRDB iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam.

Naingia kwenye menu ya CRDB mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime.

Tafadhali CRDB nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama NMB ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank

Ndugu hamia Barclays free banking kuanzia ATM mpaka sim banking
 
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya CRDB iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam.

Naingia kwenye menu ya CRDB mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime.

Tafadhali CRDB nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama NMB ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank
vip unatumia vodacom ama?
 
Pole mkuu,nunua bundle inakaa one month ,life is simple
 
Kama kweli ni wasikivu wahe humu watuambie watarekebisha ama vipi

ningekushauri tu ufuatilie kwenye mtandao wako badala ya kuanza kelele kwa vitu vya ajabu, mimi natumia iyo huduma ya iyo benki na watu wengi tu wanatumia iyo kitu ivyo ingefaa ungeomba ushauri badala ya kukimbilia kuleta mada. Ivi ni lini hao CRDB wakamiliki mtandao wa simu?yani unataka Vodacom au tigo au airtel wakikugomea kupata huduma kwao ambayo iko kwa third party wewe unamlaumu thirdy party? Sasa ulitaka CRDB wamlazimishe service provide akuruhusu uweze ku access akaunti? yaani uko kwenye foleni toka ubungo kwenda Ikulu magogoni, ukutane na Traffic pale mataa ya magomeni akuzuie kwa muda then ulaumu ikulu kwa kutomwambia traffic akupitiushe kwa lazima?does it make sense???

Binafsi uwa sipendi kuharibu public image au business za watu kama ivi, inafaa uende kwa Voda/airtel/tigo wakupe jibu KAMA HAUKURIDHIKA then uende CRDB wakakupe majibu ya uhakika, kama wakikujibu ovyo apo uje kwetu Jf tulalamike kwa pamoja kwa kampuni inayotoa huduma mbovu ila ili la kuamua umrushie nani tuhuma limekaa ovyo!

Mtu hauna salio la kutuma sms voda/tigo/airtel kualert kuwa unahitaji huduma flani toka kampuni flani eg CRDB...then wewe unataka utumie bure huduma ya mtandao wa simu kupata huduma kwa kampuni nyingine bureee!!inaleta mantiki?au unadhani mtandao wa simu upo kuisaidia iyo CRDB kupata faida?? Ukitaka huduma CRDB then nenda uko CRDB kama ukitaka huduma ya CRDB kwa kupitia mtu mwingine/Mtandao wa simu, lazima umpe gharama za kupeleka request yako uko ulikomtuma/CRDB , tofauti na hapo tunataka tu vya bure/dezo kitu ambacho mtandao wa simu hautakubali, yani kutuma sms alert/request bure kwa kampuni yako unayotaka ikuhudumie!! kwa ivi wengi tutabaki kuwa walalamikaji milele katika kulazimisha free service!
 
Mimi tayari ni mtu maarufu sihitaji kujulikana huku jf mkuu ndio maana natumia fake id

mtu maarufu unakuja kulalama uku jf? si ungepiga customer care Vodacom wakakupa jibu?? pia kama wewe ni maarufu Vodacom wametutenga kwa makundi, ukipiga tu mtu mashuhuri kama Gsana wala hukai hata sekunde10, unaambiwa KARIBU VODACOM KWENYE KITENGO CHA WATEJA WA HADHI YA JUU, NAITWA XXXX TAFADHALI NIKUSAIDIE? hapo unapata msaada kamili, sasa wewe jambo lililo wazi kama ili haujapata msaada unakuja jf kulalama ??? je unajua watu wenye kueleweka wakiishiwa vocha vodacom inakukopesha airtime kiasi gani??au ni umaarufu wa mawazo?? NENDA VODACOM AU CRDB WATAKUSAIDIA MKUU!!!
 
Tigo na Vodacom wanakopesha utarudisha ukiongeza airtime.

Ni kweli mkuu wanakopesha ila wanakopesha mtu anayekopesheka sio yeyote,wengine wasanii wa mjini anaweza kuacha kutumia line kwa sababu tu ina deni, eh eh eh...kwa dizaini ya hawa raia mtandao wa simu hawatoi mkopo, na wakitoa si zaidi ya sh mia9 ili alipe 990, i.e calculated risk... Pia wanasoma uyu mtu ana transactions/operations za kiwango gani!! pia waweza kuingia makubaliano na postpaid na mtandao, mfano kama line yangu, naweza kutumia mpaka lak3 in arrears then natumiwa bill mwisho wa mwezi!
Si wote tunakopesheka!!
 
ningekushauri tu ufuatilie kwenye mtandao wako badala ya kuanza kelele kwa vitu vya ajabu, mimi natumia iyo huduma ya iyo benki na watu wengi tu wanatumia iyo kitu ivyo ingefaa ungeomba ushauri badala ya kukimbilia kuleta mada. Ivi ni lini hao CRDB wakamiliki mtandao wa simu?yani unataka Vodacom au tigo au airtel wakikugomea kupata huduma kwao ambayo iko kwa third party wewe unamlaumu thirdy party? Sasa ulitaka CRDB wamlazimishe service provide akuruhusu uweze ku access akaunti? yaani uko kwenye foleni toka ubungo kwenda Ikulu magogoni, ukutane na Traffic pale mataa ya magomeni akuzuie kwa muda then ulaumu ikulu kwa kutomwambia traffic akupitiushe kwa lazima?does it make sense???

Binafsi uwa sipendi kuharibu public image au business za watu kama ivi, inafaa uende kwa Voda/airtel/tigo wakupe jibu KAMA HAUKURIDHIKA then uende CRDB wakakupe majibu ya uhakika, kama wakikujibu ovyo apo uje kwetu Jf tulalamike kwa pamoja kwa kampuni inayotoa huduma mbovu ila ili la kuamua umrushie nani tuhuma limekaa ovyo!

Mtu hauna salio la kutuma sms voda/tigo/airtel kualert kuwa unahitaji huduma flani toka kampuni flani eg CRDB...then wewe unataka utumie bure huduma ya mtandao wa simu kupata huduma kwa kampuni nyingine bureee!!inaleta mantiki?au unadhani mtandao wa simu upo kuisaidia iyo CRDB kupata faida?? Ukitaka huduma CRDB then nenda uko CRDB kama ukitaka huduma ya CRDB kwa kupitia mtu mwingine/Mtandao wa simu, lazima umpe gharama za kupeleka request yako uko ulikomtuma/CRDB , tofauti na hapo tunataka tu vya bure/dezo kitu ambacho mtandao wa simu hautakubali, yani kutuma sms alert/request bure kwa kampuni yako unayotaka ikuhudumie!! kwa ivi wengi tutabaki kuwa walalamikaji milele katika kulazimisha free service!

Gsana Wewe bila shaka una maslahi na crdb ila umeshindwa kujenga hoja umeishia kupayuka tu. Pole sana mkuu lakini ujumbe umefika ns bila shaka mtawasiliana na vodacom muweke mambo saws. Usikasirike kwani lengo letu ni kuwaamsha kutoka usingizini.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu wanakopesha ila wanakopesha mtu anayekopesheka sio yeyote,wengine wasanii wa mjini anaweza kuacha kutumia line kwa sababu tu ina deni, eh eh eh...kwa dizaini ya hawa raia mtandao wa simu hawatoi mkopo, na wakitoa si zaidi ya sh mia9 ili alipe 990, i.e calculated risk... Pia wanasoma uyu mtu ana transactions/operations za kiwango gani!! pia waweza kuingia makubaliano na postpaid na mtandao, mfano kama line yangu, naweza kutumia mpaka lak3 in arrears then natumiwa bill mwisho wa mwezi!
Si wote tunakopesheka!!

Acha kujisifu jenga hoja
 
Gsana Wewe bila shaka una maslahi na crdb ila umeshindwa kujenga hoja umeishia kupayuka tu. Pole sana mkuu lakini ujumbe umefika ns bila shaka mtawasiliana na vodacom muweke mambo saws. Usikasirike kwani lengo letu ni kuwaamsha kutoka usingizini.

asante mkuu, asante kwa pole yako...asante kwa kusema napayuka...asante wewe asiye na maslahi, ila sijajua kama hauna maslahi kwenye huu uzi wako unakereketwa nini? kama umekereka na ushauri wangu log out wanaonielewa watasoma! unaanzisha uzi na kuulinda kwa nguvu zote ili iweje?kama haukutaka mawazo yetu basi log out au futa tu uzi wako ili wengine tusichangie!
 
Last edited by a moderator:
Gsana Wewe bila shaka una maslahi na crdb ila umeshindwa kujenga hoja umeishia kupayuka tu. Pole sana mkuu lakini ujumbe umefika ns bila shaka mtawasiliana na vodacom muweke mambo saws. Usikasirike kwani lengo letu ni kuwaamsha kutoka usingizini.
That's true mkuu frakitosho ....
 
Last edited by a moderator:
Sawa lakini sio suluhisho la kudumu. Crdb must address this anormally
Mimi nilikupa solution ya wakati wa dharura kama ulivyoeleza, hayo mengine unaweza kutafuta mawasiliano ya uongozi wa juu wa CRDB Bank ambao unapatikana kwenye mtandao wa internet an uka-address issue yako na bila shaka kwakuwa ni Bank inayosiliza "The Bank that Listen" watalifanyia kazi.

Binafsi ni mtumiaji mzuri tu wa huduma mbalimbali za benki hiyo toka mwaka 2002 sijawahi kupata tatizo lolote zaidi ya kuambiwa mtandao wa kibank uko down tena ni kwa muda basi...., labda mengine yaanze kesho....
 
Wanajamvi ni hivi, akaunti ya CRDB iba fedha za kutosha ila kwenye simu yangu nimeishiwa airtime na niko kwenye traffic jam.

Naingia kwenye menu ya CRDB mobile ili ninunue airtime najibiwa "huna salio (airtime) ya kutosha kununua "airtime"! Sasa upuuzi wao ni huu, unatakiwa kuwa na balance (airtime) ili uweze kununua airtime.

Tafadhali CRDB nawaheshimu sana rekebisheni kasoro hii muwe kama NMB ambao hata kama simu haina salio bado unaweza kununua airtime. Makato ni kwenye balance ya bank

Kama unatumia Vodacom, huwezi ku-access USSD codes zisizo za Voda bila kuwa na salio.
 
Back
Top Bottom