CRDB Visa card

CRDB Visa card

Mathias

Senior Member
Joined
Apr 22, 2009
Posts
118
Reaction score
12
Wakubwa salamu
Kuna mtu yoyote mwenye uzoefu/ anayetumia crdb visa card nje ya Nchi? Wakati naondoka Dar nilijaza fomu za kuactivate visa card yangu, na bahati mbaya sikutumia wakati nipo bongo. Swali ni kwamba endapo ntaitaji kufanya malipo (nipo Uholanzi) au kuchukua pesa kwenye atm hapa, namba zipi kwenye card niza muhimu kuzingatia tofauti na PIN
 
By the way unayo card mpya za CRDB? coz hilo ni la msingi. Kwa kuwa security numbers (namba tatu) kwenye kazi za visa za zamani hazipo. So hata kama uko activated bado hutaweza kufanya payments.
 
Pia kuna information nyingi kuhusu hizi VISA za CRD on the following links kuhusu malipo security etc etc. Nami nilikuwa na tatizo kama lako nikapata elimu toka huku
https://www.jamiiforums.com/busines...pal-and-moneybookers-with-crdb-visa-card.html
https://www.jamiiforums.com/jf-loun...pal-to-send-money-through-a-crdb-account.html
https://www.jamiiforums.com/busines...sa-card-utata-wa-matumizi-yake-mtandaoni.html

Ukimaliza pitia hizo threads moja kwa moja maseali yako yatajibiwa na zaidi.

Mkuu Shapu
asante kwa useful comment naona zinajitosheleza
 
By the way unayo card mpya za CRDB? coz hilo ni la msingi. Kwa kuwa security numbers (namba tatu) kwenye kazi za visa za zamani hazipo. So hata kama uko activated bado hutaweza kufanya payments.

Hapana.
Mimi nilishawahi kununua laptop yangu huko Uholanzi (dukani) kwa kutumia visa card ya CRDB ya zamani isiyokuwa na zile security numbes (namba tatu). Na pia unachukua pesa kwenye ATM kama kawaida. Usichoweza kufanya ukiwa na hiyo visa card ya zamani ni kununua vitu online maana hiyo PIN CODE inahitajika na pia hakuna card number (namba 16) kwenye hiyo visa vard ya zamani ambayo pia inahitajika.
Wasalaam.
 
Last edited:
Back
Top Bottom