CRDB waja na Account maalumu ya uwekezaji faida 12%

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
1747726411691.jpg
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳

Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.

wasiliana nao kwa taarifa zaidi
 
Yaani 20,000,000 - 12% = 2,400,000 kwa mwaka ÷ miezi 12 = 200,000 kila mwezi.
Hii ni lazima uwe na upungufu wa akili kwanza ndipo unaweza thubutu kufanya makubaliano ya hivi aisee...☹️
 
Noma sana mkuu
 
Unacho kianzio kwanza?
 
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳

Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.

wasiliana nao kwa taarifa zaidi
12% kwa mwaka yaani miezi 12 unapata faida hiyo
 
Attachments

  • Screenshot_20250520_143913_Calculator.jpg
    Screenshot_20250520_143913_Calculator.jpg
    97.1 KB · Views: 35
Back
Top Bottom