Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Nikweli mkuuLabda mafisadi ndiyo yenye pesa
Bila kusahau kiasi cha chini cha uwekezaji ni 20MView attachment 3339649
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
Fafanua tafadhali...Aisee. ..nzuri.
Hii inatufaa sisi wastaafu akili imeshachoka kufikiri...Yaani 20,000,000 - 12% = 2,400,000 kwa mwaka ÷ miezi 12 = 200,000 kila mwezi.
Hii ni lazima uwe na upungufu wa akili kwanza ndipo unaweza thubutu kufanya makubaliano ya hivi aisee...☹️
Noma sana mkuuYaani 20,000,000 - 12% = 2,400,000 kwa mwaka ÷ miezi 12 = 200,000 kila mwezi.
Hii ni lazima uwe na upungufu wa akili kwanza ndipo unaweza thubutu kufanya makubaliano ya hivi aisee...☹️
kwenye hiyo 12% utakayoipataMpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
Akikujibu naomba unitag pleasekwenye hiyo 12% utakayoipata
Je ni kiasi gani itakatwa kama kodi?
Bank wajanja BOT directly ni 15% wanakula 3% faidaMpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
Unacho kianzio kwanza?Yaani 20,000,000 - 12% = 2,400,000 kwa mwaka ÷ miezi 12 = 200,000 kila mwezi.
Hii ni lazima uwe na upungufu wa akili kwanza ndipo unaweza thubutu kufanya makubaliano ya hivi aisee...☹️
Sina hata mia mkuu, ebu naomba liteni hapo nami nitambe hapa nyumbani kwa shemeji...😋Unacho kianzio kwanza?
12% kwa mwaka yaani miezi 12 unapata faida hiyoMpango unaoendana na hadhi yako!🧳
Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwaka📈.
wasiliana nao kwa taarifa zaidi
M wekeza 13%Bank wajanja BOT directly ni 15% wanakula 3% faida