Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 583
- 590
Nsekela kama kazi imekushinda acha. Crdb wamekua hovyo sana jamani. Customer service unapiga unasubiri dakika 10 kuongea na mhudumu. Hela zinatolewa kwenye account hazirudi ukipiga simu kureport hamna majibu wala msaada aise. Leo rasmi nimehama benki.
Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb. Zikipotea hamna majibu ma hamna ataekusaidia.
Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb. Zikipotea hamna majibu ma hamna ataekusaidia.