Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
- Thread starter
- #21
Si kila mahali kuna bank. Na ukikuta benki foleni yake mpaka kero, unasimama masaa matatu ili uweke sh 10,000Kuna nchi huduma za bank kupitia mobile operators zimejengewa mazingira ambayo haziwezi kuendeshwa, na badala yake watu wanakuwa na trust na mabenki tu