Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
- Thread starter
-
- #21
Si kila mahali kuna bank. Na ukikuta benki foleni yake mpaka kero, unasimama masaa matatu ili uweke sh 10,000Kuna nchi huduma za bank kupitia mobile operators zimejengewa mazingira ambayo haziwezi kuendeshwa, na badala yake watu wanakuwa na trust na mabenki tu
Asante kwa ushauriBiashara ya hela kufanya bila risiti au kithibitisho ni hatari c kwa cmu banking tu bali hata kwa wanaodraw hela atm bila kuchukua receipt,mtalia yalinikuta csahau
Uctumie mpesa sababu huna receipt na n wachache wanaotunza sms pia atm kumbuka receipt walioweka hvyo c wapumbavu shortcut znaponza ndg zanguni
duh, pole.Inabidi hizi huduma zisitishwe.Zitachangia wizi hizi...
Kuna wizi, nafikiria kufungua kesi mahakamani.Mashahidi ni M-pesa