Mimi naona kwa wakala Ni nafuuNi hela ambazo hazionekani, ukitaka kujua we chukua bank statements kila mwezi halafu jumlisha hizo mia mbili zao...
Usiombe ukatoa pesa kwa wakala ni kilio makato makubwa.
Usiombe ukaswap card...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona kwa wakala Ni nafuuNi hela ambazo hazionekani, ukitaka kujua we chukua bank statements kila mwezi halafu jumlisha hizo mia mbili zao...
Usiombe ukatoa pesa kwa wakala ni kilio makato makubwa.
Usiombe ukaswap card...
Ila mda mwingne unajiuliza hawa wenye bank sehemu kama kariakoo ambaya naamini ina transactions nyingi na kubwa kuzidi mikoa mitatu ya kule chini kwa siku ni ya kuweka tawi moja la Benk?
Hao NMB wenyewe wapo kule karibu na soko kuu(mtaa wa livingstone nahisi)baasi.
Siyo hatuna imani nao.Kuongeza matawi ni galama kuliko kuongeza mawakala nazan tujifunze na tuzoee tu kupata uduma kwa wakala iyo ndo solusheni
Ttzo watu weng hatuna iman na mawakala
Na pia kuna galama za ziada kwa wakal ila sio galama kubwa kias cha kushindwa kupata uduma
Mkuu kwanini DTB makato yao makubwa sana ukitoa kwenye ATM za benki nyingine mfano ukiwa na Kadi ya DTB ukaenda kutoa pesa kwenye ATM ya NMB unakatwa Shilingi elf 11,200.Ndio zao misimu ya xmass pole.
Tulilalaga njaa xmass njoo dtb mtu wangu ipo safi ni rahisi always hukosi huduma ila crdb SI visa toa benki zingine
Mawakala wezi sana wanataka kukuza mitaji yao kwa kuibia wateja na kweli wana fanikiwa kwasababu watanzania wengi bado wajinga wajingaSiyo hatuna imani nao.
Kwanza ni gharama sana.
Pia mawakala wezi sana.
Wezi mno.
Usipokuwa makini wanakupiga.
Binafsi walishatoa laki 5.
Wakala yupo kigogo, kigogo nilienda tu nikapata dharura ikabidi nitoe.
Kuchukua statements ikaonekana nimetolea mbagala.
Na huko mbagala sikufika, na sijawahi kutoa pesa mbagala.
Nikamfata akajifanya hanijui.
Nikanyanyua simu kwa askari wa tabata, akaja akachukua na askari wa kigogo.
TUkamzukia.
Akapanic, akasema ananikumbuka "eti we mama wewe jana si ulikuja kutoa hela hapa kuna nini tena?
Askari wakamuambia twende kituoni utajua huko huko.
Nikamuacha na maaskari wakaniambia tangulia kituoni tunakuja nae maana kasema mpaka aweke ofisi yake sawa.
Ile natangulia kituoni askari ananipigia tusubiri ameelekea kibla.
Wakaniletea laki 5 yangu.
Nikasema nimpe kidogo akasema we nenda tu.
Nadhani aliwapa kidogo.
From there sitotoa kwa wakala yeyote zaidi ya wakala mmoja jirani yangu.
Mimi kidogo nafatilia miamala yangu fikiria ambao hawafatilia miamala yao inakuwaje.
Mawakala ni mbwa kasoro tu kubweka.
Hamia Dtb na equityMkuu kwanini DTB makato yao makubwa sana ukitoa kwenye ATM za benki nyingine mfano ukiwa na Kadi ya DTB ukaenda kutoa pesa kwenye ATM ya NMB unakatwa Shilingi elf 11,200.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
DTB makato yao ni makubwa sawa na Kadi za nje ya nchiHamia Dtb na equity
Kuongeza matawi ni galama kuliko kuongeza mawakala nazan tujifunze na tuzoee tu kupata uduma kwa wakala iyo ndo solusheni
Ttzo watu weng hatuna iman na mawakala
Na pia kuna galama za ziada kwa wakal ila sio galama kubwa kias cha kushindwa kupata uduma
Hamia Dtb na equity
Ni aghali sana kutoa kwa wakala, hasa unapotoa pesa nyingiMawakala mkuu hawapo?!
How posible is this?Siyo hatuna imani nao.
Kwanza ni gharama sana.
Pia mawakala wezi sana.
Wezi mno.
Usipokuwa makini wanakupiga.
Binafsi walishatoa laki 5.
Wakala yupo kigogo, kigogo nilienda tu nikapata dharura ikabidi nitoe.
Kuchukua statements ikaonekana nimetolea mbagala.
Na huko mbagala sikufika, na sijawahi kutoa pesa mbagala.
Nikamfata akajifanya hanijui.
Nikanyanyua simu kwa askari wa tabata, akaja akachukua na askari wa kigogo.
TUkamzukia.
Akapanic, akasema ananikumbuka "eti we mama wewe jana si ulikuja kutoa hela hapa kuna nini tena?
Askari wakamuambia twende kituoni utajua huko huko.
Nikamuacha na maaskari wakaniambia tangulia kituoni tunakuja nae maana kasema mpaka aweke ofisi yake sawa.
Ile natangulia kituoni askari ananipigia tusubiri ameelekea kibla.
Wakaniletea laki 5 yangu.
Nikasema nimpe kidogo akasema we nenda tu.
Nadhani aliwapa kidogo.
From there sitotoa kwa wakala yeyote zaidi ya wakala mmoja jirani yangu.
Mimi kidogo nafatilia miamala yangu fikiria ambao hawafatilia miamala yao inakuwaje.
Mawakala ni mbwa kasoro tu kubweka.
Acha uongoDTB makato yao ni makubwa sawa na Kadi za nje ya nchi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ni rahisi manaa zipo Kwa wakala tu dearNatumia equity pia ila kutoa pesa Kama una haraka au upo nje ya mji ni changamoto
Mkuu hii bank haikufai..hamia NMB kwa walimu. Huku hakuna mtu anaenda kwenye ATM/bank siku hizi. Download simbanking uache kujichoresha kwenye mafoleni ya ATM.Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.
Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja nimejikuta kwenye foleni ya ATM posta Azikiwe street, imagine foleni ya ATM.
Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango ya kuongeza ATM na kuhakikisha ATM zote zilizopo zina fanya kazi Sawa sawa, wala sioni dalili za wao kuongeza matawi Kkoo.
Hii bank ni kama vile imeridhika na Hali ilivyo.