CRDB Wana matatizo gani?


Ukiwa kaliakoo ATM unaipata mbali sana au ukiwa mnazi mmoja mpka uendele hospitali ndio unaikuta ATM na mbaya zaid simbank wanachaji sikuiz lazima uweke salio la kawaida
 
Kuongeza matawi ni galama kuliko kuongeza mawakala nazan tujifunze na tuzoee tu kupata uduma kwa wakala iyo ndo solusheni

Ttzo watu weng hatuna iman na mawakala
Na pia kuna galama za ziada kwa wakal ila sio galama kubwa kias cha kushindwa kupata uduma
 
Siyo hatuna imani nao.
Kwanza ni gharama sana.
Pia mawakala wezi sana.
Wezi mno.
Usipokuwa makini wanakupiga.
Binafsi walishatoa laki 5.
Wakala yupo kigogo, kigogo nilienda tu nikapata dharura ikabidi nitoe.
Kuchukua statements ikaonekana nimetolea mbagala.
Na huko mbagala sikufika, na sijawahi kutoa pesa mbagala.
Nikamfata akajifanya hanijui.

Nikanyanyua simu kwa askari wa tabata, akaja akachukua na askari wa kigogo.
TUkamzukia.
Akapanic, akasema ananikumbuka "eti we mama wewe jana si ulikuja kutoa hela hapa kuna nini tena?
Askari wakamuambia twende kituoni utajua huko huko.

Nikamuacha na maaskari wakaniambia tangulia kituoni tunakuja nae maana kasema mpaka aweke ofisi yake sawa.
Ile natangulia kituoni askari ananipigia tusubiri ameelekea kibla.

Wakaniletea laki 5 yangu.
Nikasema nimpe kidogo akasema we nenda tu.
Nadhani aliwapa kidogo.
From there sitotoa kwa wakala yeyote zaidi ya wakala mmoja jirani yangu.
Mimi kidogo nafatilia miamala yangu fikiria ambao hawafatilia miamala yao inakuwaje.
Mawakala ni mbwa kasoro tu kubweka.
 
Ndio zao misimu ya xmass pole.
Tulilalaga njaa xmass njoo dtb mtu wangu ipo safi ni rahisi always hukosi huduma ila crdb SI visa toa benki zingine
Mkuu kwanini DTB makato yao makubwa sana ukitoa kwenye ATM za benki nyingine mfano ukiwa na Kadi ya DTB ukaenda kutoa pesa kwenye ATM ya NMB unakatwa Shilingi elf 11,200.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mawakala wezi sana wanataka kukuza mitaji yao kwa kuibia wateja na kweli wana fanikiwa kwasababu watanzania wengi bado wajinga wajinga

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

Kama ni mtu wa miamala Mara kwa Mara Fanyia kwa wakala halafu mwisho wa mwezi chukua statement urudi hapa
 
How posible is this?
 
Mkuu hii bank haikufai..hamia NMB kwa walimu. Huku hakuna mtu anaenda kwenye ATM/bank siku hizi. Download simbanking uache kujichoresha kwenye mafoleni ya ATM.
Pia CRDB wana watu wanaitwa fahari huduma wamezagaa kila mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…