Mtafute Wakili Kibatala mkawipige hela mpaka watingishike (Wafiriske kidogo)Habari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.
Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.
Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.
Nifanye nini jamani?
Mbwa takataka wewe kamwambie malayA Samia na genge lake unaowatetea wakusaidie , yaaan niñyi mbwa mnavyojibinua humu na kuandika uharo as if mna maisha kumbe machoko tu ,si ajabu muosha maiti wewe , falaHabari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.
Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.
Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.
Nifanye nini jamani?
Naona unalia ,hii haina uhusiano na siasa kenge wewe!Mbwa takataka wewe kamwambie malayA Samia na genge lake unaowatetea wakusaidie , yaaan niñyi mbwa mnavyojibinua humu na kuandika uharo as if mna maisha kumbe machoko tu ,si ajabu muosha maiti wewe , fala
Naona unalia ,hii haina uhusiano na siasa kenge weweMbwa takataka wewe kamwambie malayA Samia na genge lake unaowatetea wakusaidie , yaaan niñyi mbwa mnavyojibinua humu na kuandika uharo as if mna maisha kumbe machoko tu ,si ajabu muosha maiti wewe , fala
Sina chama cha siasa kenge wewe!Tumia Kadi za CCM fasta tu mbona.
Dogo wewe inabidi udhulumiwe tu mpuuzi wewe....muite mama yako akusaidie kumbe na ninyi huwa munapata maumivuHabari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu inaonesha kuwa deni limeisha, lakini bado wanakataa. Nimekaa na meneja wao, ambaye jina nalihifadhi, lakini amenionesha dharau.
Hii ni kinyume cha mkataba. Nilimaliza deni mwezi wa saba, na kwenye mfumo wa ESS wa Utumishi deni linaonesha sifuri, lakini ile code ya makato bado iko active.
Nimekwenda mara nyingi ofisini kwao, lakini hawataki kabisa kulitatua. Bado naendelea kukatwa fedha, na wanakataa kunirejeshea fedha nilizokatwa.
Nifanye nini jamani?
Mchongo wa kupata pesa huo kama una SIM banking Tafuta Bank statement taangu ulivyokopa mpaka leo watakuletea Email ifungue then print zile transaction hadi siku waliokata pesa yako baada ya hapo
Kaa Mezani andika Demand Note kwenda CRDB wakulipe 200m kama general damages na usumbufu waliokuletea au baada ya 21 days una intend kufungua kesi ya Madai Mahakama kuu ya Tanzania hapo lazima wakuite mezani hapa sasa kuwa na confidence ikiwezekana nenda umepita Konyagi ndogo kabisa hapa ni power of Negotiation sasa maana watataka wakushushe Kimsingi hawapendi uende Mahakamani kwani itawachafua kama Bank wakishuka sana labda uchukue si chini ya 100m.
Unakuwa kama fala ,hatutaki vurugu ..Dogo wewe inabidi udhulumiwe tu mpuuzi wewe....muite mama yako akusaidie kumbe na ninyi huwa munapata maumivu
Yaani ****** wewe unaongea nn? kakojoe ulale haujaitwa..Wamenifuata inbox na nakuja huko Azikiwe DarKaendelee kushikishwa ukuta lumumba na wale wazee wa chama ili wakulipie huo mkopo. Mnakujaga kunya humu jf mkisahau mna maisha magumu kama ya ngurue
Unalalamika kama demuUnakuwa kama fala ,hatutaki vurugu ..
Njoo nikukojolee kama nilivyo mkojolea baba yako ndio nilale. Unapenda kukojolewa kijana wa lumumbaYaani ****** wewe unaongea nn? kakojoe ulale haujaitwa..Wamenifuata inbox na nakuja huko Azikiwe Dar