Vip mkuu wameshakupa huo mkopo? Mi pia nina karibu mwezi bado kimyaToka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani.
Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu.
Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa nizitumie kwenye kuazima tractor.
CRDB wanakwama wapi jamani?
Watawapa ila wanachelewa sanaTutawalaumu bure CRDB. Wenye "mkono mrefu" walishaiharibu tangu alivyotoka Kimei.
Hata mm nawashangaa..jana nimeibuka kwa meneja wa tawi langu..anasema.oohh ni swala la mtandao ila watalimaliza soon...na anadai hata wao inawasikitisha sana.
Ila Afisa Mikopo anaenishughulikia anadai hela hawana...wanashindwa kusema tu.
Tena mimi na makato wameanza ila NO mkopo
Yaani unalipa mkopo ambao haujachukua kisha hicho unacholipa ndio uje kukopeshwa hahahaaaaaaaa maisha banaHata mm nawashangaa..jana nimeibuka kwa meneja wa tawi langu..anasema.oohh ni swala la mtandao ila watalimaliza soon...na anadai hata wao inawasikitisha sana.
Ila Afisa Mikopo anaenishughulikia anadai hela hawana...wanashindwa kusema tu.
Tena mimi na makato wameanza ila NO mkopo
Ili tatzo naona ni nchi nzima mkuu na kuna watu waliomba tangu mwezi wa 12 ila mpka sasa hawajapewa mkopoUnapochukua mkopo CRDB usiwe na haraka, inaweza chukua mwezi na sehemu. Mara nyingi watasubiri uanze kukatwa rejesho la kwanza then a week or more after wanakupa. Hayawezi kufika marejesho mawili hawajakupa mkopo.
Sema Watanzania tunataka vyote, unafuu na haraka.
NMB wapo haraka lakini riba ipo juu kiasi.
Pia Nmb unapo'renew hawako fair, wanamakato makubwa si kama CRDB.
Eh! Then this is too much!Ili tatzo naona ni nchi nzima mkuu na kuna watu waliomba tangu mwezi wa 12 ila mpka sasa hawajapewa mkopo
Inaonekana hawana pesa maana crdb uwa wako fasta sana kuweka mkopoEh! Then this is too much!