ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Hawa CRDB hovyo kabisa, nina mwezi Sasa mkopo siuoni, taratibu zote nimekamilisha.
Hii Benki sasa imekuwa ya hovyo na inawezekana imefilisika. Ofsa mikopo hapokei simu. Sijui wanaandaa mazingira ya Rushwa. Crdb
Hivi humu ndani hakuna dawati la malalamiko kama ilivo @NMB Tanzania ili waione hii post