Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.