hivi kweli inakuja kichwani kwamba mwenzenu Tundu na Lema wapo Ulaya wamekimbia nchi, nchi imetulia, mama kaja kivingine anataka maridhiano, wao hawataki kurudi wanataka wabaki kulekule waendelee kuwa vibaraka wa wazungu, wanaambiwa na wazungu wasababishe violence kwenye nchi zetu ili wazungu wavune kivingine, wao wanawashauri cdm walete violence kwa kulazimisha mambo na kuleta dharau na kibri kwenye serikali, cdm wanakubali, wanakamatwa wanawekwa ndani, wanaanza kulia, Tundu yupo ulaya hana uwezo kuwawekea dhamana wala kuwaletea msosi gerezani, wanachokitaka ni kitu ambacho hakina umuhimu wowote kwa sasa....wao wanakubali tu kila kitu.
nakuhakikishia, kati ya wale wana chadema hata wale walioenda kisutu, mchukue mmoja tu friendly, muulize katiba mpya ni nini, hata wale wamama, atakosa jibu. hajui, yeye anaamini katiba mpya ni maisha mazuri, akikosa pesa anaamini ni kwasababu ya katiba mpya wanayosema kina mbowe, kumbe wenzao wanatafuta madaraka ili wale pesa kwa mgongo wao hili hawalijui. acheni kutumia wananchi masikini kama mgongo kutafutia maisha yenu, nafsi zenu ziwasute basi.