Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Unadhan wa Tanzania Wana akili za Samaki kama wewe kushindwa kung'amua uhuni wa Serkali ya CCM kumbambiki Mbowe kesi ya Ugaidi ?Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Lazima uwe na laanaKutetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Matapeli nyie lazima mtaishaChama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Kamanda hapa mimi natetea Ccm?Kutetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Hatupendi ukweli kamanda na hili ndio tatizo.Matapeli nyie lazima mtaisha
Wewe Polepole (mzee wa mavieetee) umehamia Chadema lini bana?Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Kamanda acha matusi, ninauwezo wa kukuoa.Kakojoe ukalale bwabwa ww
MtakomaHatupendi ukweli kamanda na hili ndio tatizo.
Lowasa bado yupo CHADEMA?Sifa ya chama ilianza kupotea mwaka 2015, baada ya mafisadi wadogo kumwita fisadi mkubwa aje awaongoze kuchukua nchi ili waweze kuitafuna vizuri hazina yetu.
Anatafuta hifadhiWewe Polepole (mzee wa mavieetee) umehamia Chadema lini bana?
Jadili hoja kama umeenda shule.Anatafuta hifadhi
Tundu Lisu amewapotosha mengi wakaingia kichwakichwa, hawakutakiwa kuja na move hizo walizo nazo, Tundu lisu akiwa ulaya anataka wenzie wafanya violence na kulazimisha mambo wakati yeye kakimbia nchi, na wao wamemsikiliza. too bad. kwa Samia alivyoanza alikuja vizuri na alitaka mshikamano wao wakamdharau na kutaka kumpelekesha. nashauri mkae chini mfikirie njia bora ni ipi mwende kwa serikali muombe muafaka na kutubu ila mkifikiri kushindana na serikali mtashinda mnajidanganya. wamarekani mnaowaomba msaada hata kule kwao wanapiga watu risasi, askari wao ni wakatili kuliko hata askari wetu, kule hawapigi virungu kama hapa ukifanya mchezo wanapiga risasi ya moto na hakuna anayewaingilia. na wanaouawa zaidi kule ni blacks kama sisi na ninyi mnategemea mzungu aje hapa awapende blacks? hapa wamefuata maslahi yao binafsi ambayo ninyi hamtayajua hadi baadayeee na ni maslahi hayohayo wanatafuta kwa kupachika watu kama kina Tundu ili wakiwa marais waje wayapate, sasa akiwepo mtu wa ccm anayewapatia ninyi mnachinjiwa baharini kama alivyofanywa savimbi tu. fungukeni.Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Ametupoteza maboya.Tundu Lisu amewapotosha mengi wakaingia kichwakichwa, hawakutakiwa kuja na move hizo walizo nazo, Tundu lisu akiwa ulaya anataka wenzie wafanya violence na kulazimisha mambo wakati yeye kakimbia nchi, na wao wamemsikiliza. too bad. kwa Samia alivyoanza alikuja vizuri na alitaka mshikamano wao wakamdharau na kutaka kumpelekesha. nashauri mkae chini mfikirie njia bora ni ipi mwende kwa serikali muombe muafaka na kutubu ila mkifikiri kushindana na serikali mtashinda mnajidanganya. wamarekani mnaowaomba msaada hata kule kwao wanapiga watu risasi, askari wao ni wakatili kuliko hata askari wetu, kule hawapigi virungu kama hapa ukifanya mchezo wanapiga risasi ya moto na hakuna anayewaingilia. na wanaouawa zaidi kule ni blacks kama sisi na ninyi mnategemea mzungu aje hapa awapende blacks? hapa wamefuata maslahi yao binafsi ambayo ninyi hamtayajua hadi baadayeee na ni maslahi hayohayo wanatafuta kwa kupachika watu kama kina Tundu ili wakiwa marais waje wayapate, sasa akiwepo mtu wa ccm anayewapatia ninyi mnachinjiwa baharini kama alivyofanywa savimbi tu. fungukeni.