House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
You are one of the hopeless people in this universe.Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm
Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?
My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
nakama ni ushahidi fake siro na bi kidude wataweka wapi sura zaoso what you mean ni kwamba sasahivi (kipindi cha mama) ndio mmepata political credibility ndani na nje ya nchi? hizo ndizo dharau sasa zinazowaponza. what if ushahidi ukija kwamba kweli mlipanga kulipua vituo vya mafuta mwaka jana? na wazungu wakauona, badala ya kuomba poo mnaleta jeuri, shauri yenu.
Ujumbe umeupokea. Haitakusaidia kujitoa ufahamu.so what you mean ni kwamba sasahivi (kipindi cha mama) ndio mmepata political credibility ndani na nje ya nchi? hizo ndizo dharau sasa zinazowaponza. what if ushahidi ukija kwamba kweli mlipanga kulipua vituo vya mafuta mwaka jana? na wazungu wakauona, badala ya kuomba poo mnaleta jeuri, shauri yenu.
Ukiona hivyo Bila shaka ni mmoja wa wabambikajiKwanini huna akili?
Makuzi yake ndio tatizo.Kwanini huna akili?
Katiba mpya= kutafuta madaraka?hivi kweli inakuja kichwani kwamba mwenzenu Tundu na Lema wapo Ulaya wamekimbia nchi, nchi imetulia, mama kaja kivingine anataka maridhiano, wao hawataki kurudi wanataka wabaki kulekule waendelee kuwa vibaraka wa wazungu, wanaambiwa na wazungu wasababishe violence kwenye nchi zetu ili wazungu wavune kivingine, wao wanawashauri cdm walete violence kwa kulazimisha mambo na kuleta dharau na kibri kwenye serikali, cdm wanakubali, wanakamatwa wanawekwa ndani, wanaanza kulia, Tundu yupo ulaya hana uwezo kuwawekea dhamana wala kuwaletea msosi gerezani, wanachokitaka ni kitu ambacho hakina umuhimu wowote kwa sasa....wao wanakubali tu kila kitu.
nakuhakikishia, kati ya wale wana chadema hata wale walioenda kisutu, mchukue mmoja tu friendly, muulize katiba mpya ni nini, hata wale wamama, atakosa jibu. hajui, yeye anaamini katiba mpya ni maisha mazuri, akikosa pesa anaamini ni kwasababu ya katiba mpya wanayosema kina mbowe, kumbe wenzao wanatafuta madaraka ili wale pesa kwa mgongo wao hili hawalijui. acheni kutumia wananchi masikini kama mgongo kutafutia maisha yenu, nafsi zenu ziwasute basi.