Credit 2" kidato cha tano

Credit 2" kidato cha tano

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari magreat thinkers! Jamani kama kuna mtu ana ufahamu jinsi ya kusoma 4m5 na credit 2 and at the same time unatafuta credit 1, je ni kweli baada ya kupata 1 crdt utaruhusiwa kendelea na 4m6? Nahitaji Msaada jamani wa mawazo yenu.
 
Huwezi kuendelea form five mpaka upate credit 3 (credit moja ni "c" au above). Sheria hairuhusu kuingia form 5 na kuendelea kusoma huku ukitafuta credit. usikubali kudanganywa itakucost wakati wa usajili mitihani f6
 
Back
Top Bottom