CREDIT CHECK, 22Bet Kuna Usalama Kweli?

CREDIT CHECK, 22Bet Kuna Usalama Kweli?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,

Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?

Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance kidogo kwa wallet nikasema niongezee nibet tena. Ile kuongezea ile jana haijafika na kwa Mpesa nimekatwa. Nikiwauliza customer care yao hawajibu chochote.

Kuna yeyote aliepata tatizo kama hili? Au kuna yeyote anaejua nini kinaendelea kwa hawa jamaa? Maana hawajibu chochote kwa chatting zao kana kwamba hakuna kitu chochote.
 
Mimi wana 30k yangu mpk sasa nilikuwa naweka nibet, halotel wananiambia muamala umekamilika
 
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,

Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?

Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance kidogo kwa wallet nikasema niongezee nibet tena. Ile kuongezea ile jana haijafika na kwa Mpesa nimekatwa. Nikiwauliza customer care yao hawajibu chochote.

Kuna yeyote aliepata tatizo kama hili? Au kuna yeyote anaejua nini kinaendelea kwa hawa jamaa? Maana hawajibu chochote kwa chatting zao kana kwamba hakuna kitu chochote.
Hao jamaa ni matapeli mkuu. Mimi nilihangaika nao Sana hatimae nikaamua kuachia 360k baada ya kushinda. Naamini tupaze sauti tu kwa mamlaka husika ili wafungiwe.
 
mm nina milioni zaidi ya 3 zipo pending tangu tar 20. mm naamin kuna tatizo wakilitatua mambo yatakaa sawa

maana kwa sasa haiwezekani kutoa wala kuingiza hela
 
Sasa si watujibu hata tukiwauliza, au watoe press statement. Sio wanakaa tu kimya, hivi tuna Gaming Board iliyo active kweli?
 
mm nina milioni zaidi ya 3 zipo pending tangu tar 20. mm naamin kuna tatizo wakilitatua mambo yatakaa sawa

maana kwa sasa haiwezekani kutoa wala kuingiza hela
MKuu vipi?
Ushapata hela yako?
 
Back
Top Bottom