Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,
Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?
Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance kidogo kwa wallet nikasema niongezee nibet tena. Ile kuongezea ile jana haijafika na kwa Mpesa nimekatwa. Nikiwauliza customer care yao hawajibu chochote.
Kuna yeyote aliepata tatizo kama hili? Au kuna yeyote anaejua nini kinaendelea kwa hawa jamaa? Maana hawajibu chochote kwa chatting zao kana kwamba hakuna kitu chochote.