Wapigwe Tu
Hao jamaa ni matapeli mkuu. Mimi nilihangaika nao Sana hatimae nikaamua kuachia 360k baada ya kushinda. Naamini tupaze sauti tu kwa mamlaka husika ili wafungiwe.Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,
Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?
Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance kidogo kwa wallet nikasema niongezee nibet tena. Ile kuongezea ile jana haijafika na kwa Mpesa nimekatwa. Nikiwauliza customer care yao hawajibu chochote.
Kuna yeyote aliepata tatizo kama hili? Au kuna yeyote anaejua nini kinaendelea kwa hawa jamaa? Maana hawajibu chochote kwa chatting zao kana kwamba hakuna kitu chochote.
Sasa si watujibu hata tukiwauliza, au watoe press statement. Sio wanakaa tu kimya, hivi tuna Gaming Board iliyo active kweli?mm nina milioni zaidi ya 3 zipo pending tangu tar 20. mm naamin kuna tatizo wakilitatua mambo yatakaa sawa
maana kwa sasa haiwezekani kutoa wala kuingiza hela
bado ila naona wamerejesha mobile payment artel voda tigo na halotelMKuu vipi?
Ushapata hela yako?
Mkuu ukibahatika kutoa usinisahau ata ten mkuu nisogeze gurudumu hili la maisha mkuu🙏🙏bado ila naona wamerejesha mobile payment artel voda tigo na halotel