Kuzidi yule aliyewaambia mmevimbiwa na mihogo?Huyo wa kwenu hawezi hata kujieleza.Akiulizwa swali tu anajilipua.Unafikiri CCM wajinga kumkata mara 2?Anashikilia rekodi ya kukataliwa na wajumbe wa majimbo mawili kwenye Uchaguzi mmoja.Hafai huyu, anapaniki haraka sana, Simba mtafeli pakubwa, huyu ana sifa za kuwa mtendaji, mana hulka zake wanapaswa kiwanazo watendaji sio boss m.kiti