Kuzidi yule aliyewaambia mmevimbiwa na mihogo?Huyo wa kwenu hawezi hata kujieleza.Akiulizwa swali tu anajilipua.Unafikiri CCM wajinga kumkata mara 2?Anashikilia rekodi ya kukataliwa na wajumbe wa majimbo mawili kwenye Uchaguzi mmoja.Hafai huyu, anapaniki haraka sana, Simba mtafeli pakubwa, huyu ana sifa za kuwa mtendaji, mana hulka zake wanapaswa kiwanazo watendaji sio boss m.kiti
Barbara amemaliza kuzaa ama atajiuzulu tena akishapewa mimba?
Mikia bwana. Ungekuwa Mwananchi ungekuwa unajua. We komaa na uongozi wako msijeanza kuwakataa baadaeKule Yanga Hersi ni Mwenyekiti wa mwekezaji na wa wanachama kwa miaka kadhaa sasa Gsm akiendelea kujipakulia minyama, hata mchakato hatujui umefikia wapi, "Yanga tumechangia Milioni 100 CCM"....
Ndio safi huyu tukiwapiga anafukuza kila mtu na majungu ya kutosha.Hafai huyu, anapaniki haraka sana, Simba mtafeli pakubwa, huyu ana sifa za kuwa mtendaji, mana hulka zake wanapaswa kiwanazo watendaji sio boss m.kiti
Huoni vipigo kwenu vinatembea. Hersi abaki mwenyekiti wa kudumu kule mwamed kajikabizisha simba anajiamulia atakaloKule Yanga Hersi ni Mwenyekiti wa mwekezaji na wa wanachama kwa miaka kadhaa sasa Gsm akiendelea kujipakulia minyama, hata mchakato hatujui umefikia wapi, "Yanga tumechangia Milioni 100 CCM"....
Hiyo ni nyongeza pembeni ya mkataba mkuu ambayo kwenu nyie hata jero hampatiHuko kwenu GSM anawalipa shs 1300 kwa kila jezi na bado mnajiona wajanja?Kweli ujinga ni mzigo.Msomali uchwara na Mwarabu koko wamewaweka kati.
Alifanya nini kipya ambacho atakuja nachoUnaongea kama fala asiyejua lolote
Kwamba ndo mara ya kwanza magori kua kiongozi mkuu hapo simba?
Nadhani kinachompa mamlaka ya kuteua mwenyekiti na hao wajumbe siyo cheo cha Urais wake bali nafasi yake kama Mwekezaji.Mohamed siku hizi anaibabaisha sana Simba. Mwanzoni alikuwa "Rais wa Heshima" lakini sasa hivi ni "Mwekezaji na Rais" akiwa na madaraka ya kuteua Mwenyekiti na wajumbe wa bodi.
Mkataba mkuu mnapata shillingi ngapi?Mkataba wa jezi na GSM?Wacha uzushi?Weka figure hapa.Wa Simba ni bilioni 38 kwa miaka 5 Wa GSM ni wa muda gani na thamani gani?Hiyo ni nyongeza pembeni ya mkataba mkuu ambayo kwenu nyie hata jero hampati
Hivi ni kwann anatufanyia hivi.Mwanzoni alikuwa "Rais wa Heshima" lakini sasa hivi ni "Mwekezaji na Rais" akiwa na madaraka ya kuteua Mwenyekiti na wajumbe wa bodi.
Mke wa Injinia umeombwa msamaha naomba uwe mtulivu.Kasafishe uchi huo malaya.
Samahani mke wa injinia.Uzi unahusu mwenyekiti wa thimba ila makolo wanajadili masuala ya Yanga aiseeeeee mnawashwa washwa in JPM's voice
Wako wangapi hawa wake za jamaa?Samahani mke wa injinia.
Wanne.Wako wangapi hawa wake za jamaa?
Samahani mke wa injinia.
Wako wangapi hawa wake za jamaa?
Alichukua ubingwa mara nne mfululizo na kuipeleka Simba robo fainali klabu bingwa kwa mara ya kwanza tangu miaka ya 70s.Alifanya nini kipya ambacho atakuja nacho
Umezoea kuona Baba yako akifilwa sisi wengine wanaume kamili.Mke wa Injinia umeombwa msamaha naomba uwe mtulivu.