Crescentius Magori afafanua masharti magumu ya FIFA kwa wachezaji waliobadili Uraia ili waweze kucheza Timu ya Taifa

Benny Haraba kaka nimesoma comments zako...ila sijakuelewa kuwa unaungana na mada au unaipinga? Yani unawasapport hao wanaowapa uraia wageni au unatushangaa tunaowaona hawajafanya vzr...
Napendekeza isiwe rahisi hivyo kuwapa watu 9 kwa timu moja nadhani siyo busara
 
Sasa wee Magori hebu tuambie huyo Kibu Dennis wenu anazaidi ya miaka mitano hapa nchini ? Naj ee ana mzazi hapa TZ ??? Mbona yumo timu ya Taifa ??? N a alishaanza kucheza siku nyingi tuu !Acheni ujinga !!!
Mbona umeandika upambavu apa,...fanya research kwanza yakitu unachotaka kuandika kabla ya kuropoka punguan wahid..
 
Tff ilipopewa msomali Kuna watu walionya Sasa anaendekeza ujinga kwa kushirikiana na wajinga wachache walioko kwenye siasa.
 
Asa wao ndio washika dau waambiane haya kwenye vikao vyao
Team ya taifa imeenda afcon bila hao wageni kwa Nini waone umuhimu wao Sasa kama sio siasa za mpira!?
Aliyesema wanaomba uraia wa Tanzania ili wacheze Taifa Stars nani
 
Sasa wee Magori hebu tuambie huyo Kibu Dennis wenu anazaidi ya miaka mitano hapa nchini ? Naj ee ana mzazi hapa TZ ??? Mbona yumo timu ya Taifa ??? N a alishaanza kucheza siku nyingi tuu !Acheni ujinga !!!
Mzee Kibu Denis umemjua baada ya kuhamia Simba?

Huyo hadi kambi ya wakimbizi ameishi.
 
5imba sengi ni mbumbumbu......pumbumbu....wamehamishiwa magoli ya yametanuliwa wamehamishwa ....
 
Usikute unaitwa Abdul ila unamshangaa John.
Wala sishangai. Ni tatizo ambalo wengine tunalo na si sisi tukijipa hayo majina, bali wazazi wetu.
Changamoto ni sisi wa kizazi hiki kuendeleza makosa ya kutelekeza majina yetu ya asili ya jamii zetu na kuwapa watoto wetu Majina ya jamii zingine. Ni kujidharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…