Cresta 1g kavu vs crown

Cresta 1g kavu vs crown

Mtoa mada maelezo yako hayajitoshelezi ndiyo maana umekosa msaada, kama ni ishu ya fuel consumption zote zinafanana Tu na kama umeshakuwa bahili wa mafuta kiasi hiki ni Bora utafute Passo tu
 
Mkuu hata sio ubahili, Iko hvi nataka nitoke kwenye cresta ni upgrade ndo maana nimeomba msaada mkuu mafuta sio issue kaka as long as najituma
Crown itakupa vitu vingi ambayo ni more advanced hasa luxurious
 
Naona kama ni sawa tu maana crown ina umeme mwingi sana
 
Back
Top Bottom