Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

Hahahaha!! Hii kali kweli aisee:lol:...

sasa kama sio kwa shikamoo nini jitu kubwa lipo kwa mjomba au kwa wazazi
na matambo kibao mjini heshima kaunta
jamaa kajikomboa kwa kweli sio mchezo

 
sasa kama sio kwa shikamoo nini jitu kubwa lipo kwa mjomba au kwa wazazi
na matambo kibao mjini heshima kaunta
jamaa kajikomboa kwa kweli sio mchezo

Yaani ukipiga hatua fulani shida...usipopiga hatua na yenyewe shida...
 

Mkuu ndo maana nikasema wabongo sifieni hata kidogo
Jamaa kajitahidi kaachana na kunywanyaswa na wenye nyumba
Yuko kwake hata kama sio ya hadhi yake ila yuko kwake
Hata kama wananyonywa na hao jamaa ila amejitahidi
Hongera Pro J
 

half a loaf is better than none-huu msemo una apply kila kona ya bongo..
 

Ukiwa nayo nzuri...oohh sio sanaa peke yake atakuwa anauza na madawa ya kulevya...lol
 
Atakuwa alianza kuijenga miaka mingi sana maana hiyo aina ya kigae hata kutengenezwa hakitengenezwi tena
 
Atakuwa alianza kuijenga miaka mingi sana maana hiyo aina ya kigae hata kutengenezwa hakitengenezwi tena


,,,,Ha ha haaaaaa,daaah MBAVU zangu,hii MIJAMAA inachunguza mpaka KIGAE gani na TOLEO lake ni lipi?????walaaah hamfai nyie watu,im OUTTTTT!!!!!
 
Good crib and congrats to him..ila maendeleo yake hayaendani na mda ambao amekuepo kwenye gemu....bado kuna unyonyaji sana kwenye bongo music industry...me naona kama angeendelea kufanya kazi kule mobitel angekua mbali zaidi ya hapo..just sayyin
 
Prof Jay

Hongera Mwana. Big Up sana.

HAWA WANAOKUKASHIFU HUMU jf hawana hata kiwanja cha 10 kwa 10.

Wivu tu Umewajaa
 

kweli we ni ****!
 
Ee bwana u mjomba kajaribu ispokuwa sanaa hailipi. Mombasa kenya wasanii hawana hata rukwama licha gari, nyumba ya kukodi alafu haina hata umeme. Mpeni prof. Jize dole gumba asili mia mia.
 
Spacio, Corola na Rav 4 ndio mikoko ya kufa mtu?.,ama kweli vipofu tupo wengi
 
wasanii wetu ni wajinga pesa wanazopata wanaendekeza starehe bila kuwaza kufanya mambo ya maendeleo

Kwani clouds wanatoa hela za maendeleo au za kunywea bia?
 
ndio hili hekalu la mbezi??? maana nilisikiliza clouds ktk kipidi fulani kama 2006/7 walikuwa wanasema jay kaporomosha hekalu tena ghorofa matata sana maeneo ya mbezi. kwa album zote zile nilitegemea awe na hekalu la ukweli
 
si haba,wengi jf hatuna kama hivyo japo alitakiwa kuwa zaidi ya hivyo
 
wabongo kwa kuponda hawajambo
Duh sifieni hata kidogo

Kusifia sio kazi mbona.....
Hili ni jukwaa la celebrities, hivyo mashabiki wa Jay mjikaze tu coz jamaa inabidi apimwe kwa vipimo vya u-celebrity wake.
Ndio maana analinganishwa na wenzake wa nchi mbali mbali....
Ingekuwa nyumba yako hiyo Mr Rocky, ningeisifia hadi kwa kinyakyusa!

 
dah kaka umenena kila kitu hapo hata kuongezea naogopa ntaharib......clouds bwana....dah
 
Jamani nasikiaga kuwa lady jd kawafunika wasanii wote kimaendeleo aliye karibu naye atupe ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…