Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Hahahaha!! Hii kali kweli aisee:lol:...
sasa kama sio kwa shikamoo nini jitu kubwa lipo kwa mjomba au kwa wazazi
na matambo kibao mjini heshima kaunta
jamaa kajikomboa kwa kweli sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha!! Hii kali kweli aisee:lol:...
Yaani ukipiga hatua fulani shida...usipopiga hatua na yenyewe shida...sasa kama sio kwa shikamoo nini jitu kubwa lipo kwa mjomba au kwa wazazi
na matambo kibao mjini heshima kaunta
jamaa kajikomboa kwa kweli sio mchezo
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...
Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna
Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima

Atakuwa alianza kuijenga miaka mingi sana maana hiyo aina ya kigae hata kutengenezwa hakitengenezwi tena
ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima
wasanii wetu ni wajinga pesa wanazopata wanaendekeza starehe bila kuwaza kufanya mambo ya maendeleo
Clouds wameleta mapinduzi ya muziki nchin na kuwaneemesha wasanii wetu na kuanzisha music academy tht
Clouds wameleta mapinduzi ya muziki nchin na kuwaneemesha wasanii wetu na kuanzisha music academy tht
wabongo kwa kuponda hawajambo
Duh sifieni hata kidogo
dah kaka umenena kila kitu hapo hata kuongezea naogopa ntaharib......clouds bwana....dahkipato chao kidogo...kwa mfano..onyesho kama fiesta prof jize anazunguka mikoa zaidi ya kumi..lakini anavyolipwa! Only god knows...sugu alisema hv..nanukuu (watu wanasema kuwa wasanii hawaendelei kwa sababu wanapenda starehe sana..je? Msanii angetoa albam then akalipwa m500 atawelewea yote? Anaweza kunywa bia za m500?) hapo inaonyesha dhahiri sanaa ya bongo ni ngumu..kwa mapato ya muziki prof jize angekuwa na vinyumba na vigari kama hivyo mara mia! Nyumba moja unajenga miaka kumi? Halafu unajipongeza wakati kwa kipaji chako nyumba hiyo ungejenga kwa miezi miwili? Clouds fm waliokuwa wadau wakuu wa wanamuziki wa kizazi kipya mna kesi ya kujibu!!!!!