Cricket Insect ni edble insects kwa matumizi ya binadamu

Cricket Insect ni edble insects kwa matumizi ya binadamu

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wengi wetu tunawajua hawa cricket make ni wale wanalia usiku, ila najua wengi hawajahi kuwaonja au hawajui kama wanaliwa.

Ukweli ni kwamba radha yake ni sawa na ya senene au kumbikumbi kwa walio kula hivyo vitu.

Cricket wanafugwa sana Asia na kwa sasa nchi za Asia wana Green right ya kuuza EU Market hivyo, wana export sana kwenda ulaya.

Tuseme ukweli tunako elekea tunarudi kwenye enzi za Babu zetu kula wadudu make huko ndo kuna usalama kidogo.

Kwa sasa kasi ya Wazungu kula insects inashangaza make hawa ndo walikwa wanazi wa kupinga wadudu ila kwa sasa wanawala mbaya na European Union isha toa green right kabisa.

Cricket wana kiwango kikubwa cha protein kuliko either Samaki, Soya, BSFL, na inazidiwa na kumbikumbi pekee.

Cricket ni salama kabisa ingawa ni wadudu na kama huwezi kuwala unaweza lisga mifugo ingawa wao ni special kwa kula binadamu.

na Hukaushwa na unga wake unaweza pika bite mbali mbali.

Binafisi niliwaonja Mwaka Juzi 2018 kwenye maonyesho ya kilimo ya kimataifa ya Naiirobi Kenya.Kenya wanawazalisha sana na wana Export pia nje.

Maeneo kama Kisumu ndo kuna hizi project za Cricket na watu wanapiga pesa mbaya mno.

Cricket ni jamii ya panzi, Senene na nzige hivyo ni salama na hata radha zinafanana kabisa.

Ila ili ufurahia uzalishaji wake unapaswa kuwa unawala, Mimi binafisi sijaaanza kuwafuga kwa sababu nilikuwa nichukue Mbegu kutoka Kenya Kisumu na korona ikaingilia kati.

Niko kwenye process za kuagiza mbegu na lengo ni kuzalisha kupata protein kwa ajili ya binadamu na nitaanza kuwala mwenyewe.
FB_IMG_1638355626105.jpg
FB_IMG_1638355632967.jpg
FB_IMG_1638355645374.jpg
FB_IMG_1638355666278.jpg
FB_IMG_1638355670905.jpg
 
Aaah hao niliwapiga zambia..wanaitwa nyense kula wanakula
 
Back
Top Bottom