Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI:
Binti anaitwa Jania Meshell
Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae.
Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu alianza kudate na rapper mwingine ambaye anaitwa king von.
King von ambaye alikuwa tayari ameanza kurusha diss kwa nba youngboy kwa sababu youngboy alikata mara kadhaa kukubali feature request kutoka kwa king von
Situation ya king von kudate na babymama wa youngboy ilikuza moto wa ugomvi wao.
Nba youndboy alikuwa na label na alikuwa amemsign rapper mwingine anaitwa Quando Rondo. Ambaye pamoja walishrikiana kurusha diss kwa kingvon na kundi lake. Huyu ndie Quando rondo
Kingvon nae alikuwa chini ya label ya rapper lil durk ambaye pia walishirikiana pamoja kuwatupia diss youngboy pamoja na quando rondo. Huyu ndie Lil durk.
Siku moja, quando rondo na wenzake walikuwa wameenda klabu. King von alipomuona quando, yeye akiwa na crew yake, alimfata quando na kuanza kumrushia ngumi, hadi pale rafiki wa quando aitwaye lul tim kuchukua bastola na kumpiga risasi king von kupelekea mauti yake.
Baada ya muda kupita siku moja quando rondo pamoja na binamu yake walikuwa los angeles ambapo gari ilipokuja karibu yao na kuanza kurusha risasi ambazo zilipelekea umauti wa binamu yake quando rondo huku yeye akinusurika.
Hadi ilipofika agents wa uchunguzi wa uharifu marekani wamekuja kugundua kuwa Rapper Lil durk ndie alietuma watu kwenda kumuua quando ambapo hawakufanikiwa ila kufanya umauti kwa binamu yake.
Alifanya hivi kwa ajili ya revenge ya kifo cha rafiki yake king von.
Hii imepelekea lil durk kukamatwa na watu watano wengine aliowa wa-hire kwa ajili ya mauaji.
So directly hauwezi kumlaumu huyu binti. Ni vijana na ujinga wa mihemuko yao.
Sasa wakati yote haya yanaendelea wao wanazidi kuumia lakini binti mwenyewe anadunda mtaani na sasa hivi ni mpenzi wa mchezaji wa NBA, Dejounte Murray.