Crimea: Kambi Ya Kijeshi Ya Urusi Yalipuliwa

Russia akitaka kuimaliza hii vita mbona anaweza na anajua. Regime change ambayo anaweza lakini kwa sasa sio option.

Anachofanya Russia kwa sasa ni kuandaa silaha kali na nzito ili wakianza operation ondoa Zelensky. Inakuwa mwisho anaweka regime yake na ndio mwisho wa msaada wa west.

The good thing haya mashambulizi yatatumika kama pretext ua kumuondoa Zelensky kwa tuhuma za ugaidi.
Hili siyo wazo jipya, ule msururu wa km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa na lengo la kumwondoa madarakani ila ilishindikana.
 
Russia akitaka kuimaliza hii vita mbona anaweza na anajua. Regime change ambayo anaweza lakini kwa sasa sio option.

Anachofanya Russia kwa sasa ni kuandaa silaha kali na nzito ili wakianza operation ondoa Zelensky. Inakuwa mwisho anaweka regime yake na ndio mwisho wa msaada wa west.

The good thing haya mashambulizi yatatumika kama pretext ua kumuondoa Zelensky kwa tuhuma za ugaidi.
Kwanini wasingetumia hii mbinu kabla? Au alitaka apoteze askari wake na vifaa vyake vingi vya kisasa?
 
Humu mnatoa hadithi za Vita kama vile zile movie za kutafsiriwa kiswahili...ngoja niendelee kusubiri zile siku tatu za kuichukua Ukarine bado hazijatimia..
 
Russia akitaka kuimaliza hii vita mbona anaweza na anajua. Regime change ambayo anaweza lakini kwa sasa sio option.

Anachofanya Russia kwa sasa ni kuandaa silaha kali na nzito ili wakianza operation ondoa Zelensky. Inakuwa mwisho anaweka regime yake na ndio mwisho wa msaada wa west.

The good thing haya mashambulizi yatatumika kama pretext ua kumuondoa Zelensky kwa tuhuma za ugaidi.
Unaota wewe amka unajikojolea
 
Ukatili una mwisho wake siku zote, pamoja na udogo wa Ukraine nawahakikishi siku zotehaki hushinda! nio sheria na maagano ya Mwenyezi Mungu!
 
Back
Top Bottom