Crimea: Kambi Ya Kijeshi Ya Urusi Yalipuliwa

Hili siyo wazo jipya, ule msururu wa km 64 kuelekea Kyiv ulikuwa na lengo la kumwondoa madarakani ila ilishindikana.
 
Kwanini wasingetumia hii mbinu kabla? Au alitaka apoteze askari wake na vifaa vyake vingi vya kisasa?
 
Humu mnatoa hadithi za Vita kama vile zile movie za kutafsiriwa kiswahili...ngoja niendelee kusubiri zile siku tatu za kuichukua Ukarine bado hazijatimia..
 
Unaota wewe amka unajikojolea
 
Ukatili una mwisho wake siku zote, pamoja na udogo wa Ukraine nawahakikishi siku zotehaki hushinda! nio sheria na maagano ya Mwenyezi Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…