Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mkenya amejikuta huko Marekani akiswekwa ndani kwa miaka 76 bila ya kufikiriwa msamaha baada ya kupatikana na makosa ya kumwua mkewew kwa kumpiga na rungu halafu kumnyonga na baada ya hapo kuwauwa watoto wake wawili kwa kuwakaba.......mtoto mmoja tu ndiye alinusurika kwa sababu hakuwepo...................
Inasemekana alikuwa anamhisi mkewe kuwa alikuwa siyo mwaminifu kwenye ndoa yao..............
Crimes of passion....................................
SOURCE: THE CITIZEN TV, tonight...........................