Nipe code moja ya Betpawa tupige mpungaHuyo Chris Mauki ndio namsoma hapa...simjui
Kubet kunaniweka mbali sana na ya ulimwenguni asee
Hapo nimekuelewa. Maana nimekuwa nikishindwa kumuelewa kabisa ukizingatia sisi watu wake wa karibu tunajua conflict zake pia katika ndoa yake na mengine anayopost anakuwa kama anajikosoa yeye Mwenyewe.Wateja wakubwa wa biashara yake ni wanawake, unataka awaudhi wateja wake mkuu?
Nyuma ya wokovu wako kuna sababu🤣 hakuna kitu kisicho na sababu mkuu.Unauliza dagaa sokoni?
Hapo nimekuelewa. Maana nimekuwa nikishindwa kumuelewa kabisa ukizingatia sisi watu wake wa karibu tunajua conflict zake pia katika ndoa yake na mengine anayopost anakuwa kama anajikosoa yeye Mwenyewe.
Sababu kuu ni kumuona Yesu akiumbika ndani mwangu kama asemavyo Mtume Paulo;Nyuma ya wokovu wako kuna sababu🤣 hakuna kitu kisicho na sababu mkuu.
🤣🤣🤣sawa kiongozi!!Sababu kuu ni kumuona Yesu akiumbika ndani mwangu kama asemavyo Mtume Paulo;
Vitoto vyangu, ambao kwamba nawaonea utungu tena mpaka Kristo aumbike ndani yenu;
Wagalatia 4:19
(Hapo vipi?)
Kwa kifupi jamaa ana kamalaya chake ndaniMiriam anavyonata yule mwanamke...
Usiwe unamchokoza Mberoya🤣🤣🤣🤣sawa kiongozi!!
Miriam anavyonata yule mwanamke...
Kubet ni uteja/ugonjwa hatari sana kwa Mbetiji!!Huyo Chris Mauki ndio namsoma hapa...simjui
Kubet kunaniweka mbali sana na ya ulimwenguni asee
Kwa kifupi jamaa ana kamalaya chake ndani
Uimbaji ni kichaka cha uasherati na uzinzi.Sijui sana tabia zake kwa sasa, namjua enzi hizo akiwa bado kigoli miaka ya 90' mwishoni akiwa mshika dini mwimbaji mwimbaji fulani mwenye kuongea lafudhi ya kiswahili ya kikenya...
Lakini sasa kwa kunata kama kalowekwa kwenye ile gundi ya miti...
Acheni wivu wazee, jee kama yule mwanamke kampata akiwa hana kazi au alivomaliza masomo tu akaunganisha na kufundisha chuoni!? lazima amsifie chake ni chake bhana! Asipomsifia nani atamsifia ?Eti juzi katoa picha na mkewe akasema Eti anaona kama mwenye bahati sababu mkewe alimpenda alivyo sijui nini na nini amemvumilia n.k.
Kuna mtu akamuuliza;
Kwani wakati huo hukuwa na kazi ya kukupa kipato walau cha kujikimu na familia?
Akajibu alikuwa nayo.
Sasa hapo cha ziada ni kitu gani?
Angesema hakuwa na kazi wala kipato chochote lakini mwanamke akampenda na kuishi nae na kumpa heshima yake siku zote hapo ndipo kungekuwa na ziada na utofauti maana wanawake wengi wako kimaslahi ukiwa huna kipato hakutaki,
Na kama ulikuwa nacho kikakata atakutafutia sababu muachane kumbe kakuchoka siku nyingi alikuwa anatafuta sababu tu.
Acheni wivu wazee, jee kama yule mwanamke kampata akiwa hana kazi au alivomaliza masomo tu akaunganisha na kufundisha chuoni!? lazima amsifie chake ni chake bhana! Asipomsifia nani atamsifia ?