Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Mkuu, ukitaka umaarufu na kupendwa sana na wanawake wewe wasifie sana na pondea wanaume. Utapendwa sana.Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia inaeleza kuwa tabia za mtu hutambulisha kundi lake. Mauki post/clips zake zinamuonyesha kana kwamba yupo kundi la waathirika na tabia za wanaume(!!!!!!!!).
Mauki kama mwl wa saikolojia katika mahusiano alitakiwa kuielimisha jamii bila kubagua.
Ila jamaa kafanikiwa sana kujipatia umaarufu kwa WANAWAKE
Mtaji hata sh 100 unatoshaMkeka ukinipa sina mtaji Jo
Sina leo πNipe code moja ya Betpawa tupige mpunga
Teh teh teh πππ noma sana hii mbinuUkitaka hayo mambo yasikusumbue akili jipe thamani mwenyewe, Achana na wanawake..... Don't care women take them kama Pleasure thing hata huyo Mauki Mamluki utaona anaongea trash tu maana kila kitu utaona hakikuhusu.
Kweli?Mtaji hata sh 100 unatosha
Umemaliza kila kitu.Soko ni kubwa upande wa ke kuliko upande wa Me. Ukiwa mfanyabiashara lazima uangalie bidhaa gani inatoka zaidi.
Sijabet leo πKweli?
Nipo huo mkeka
Kama mwaposa tu na diamond platinumJamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia inaeleza kuwa tabia za mtu hutambulisha kundi lake. Mauki post/clips zake zinamuonyesha kana kwamba yupo kundi la waathirika na tabia za wanaume(!!!!!!!!).
Mauki kama mwl wa saikolojia katika mahusiano alitakiwa kuielimisha jamii bila kubagua.
Ila jamaa kafanikiwa sana kujipatia umaarufu kwa WANAWAKE
Unakula akiba tuSijabet leo π