Ivi CR7 ata Kama ametumika na amekwisha ndio umfananishe na Neimar au Mbape? Mchezaji mwenye uhakika wa goli 20 kwa msimu japo mzee utamwacha kweli!!Yaani jitu litumike huko liishe uwezo halafu tunalifurahia
Akafanye nini hukoSiyo mancity tena...
What a great way to start the weekend!!!
Sijui kwanini hii habari imenifanya nimkumbuke Don Clericuzio ๐๐
Mbona manara mnamfurahia?Yaani jitu litumike huko liishe uwezo halafu tunalifurahia
Mkuu mimi bado nategemea makubwa kutok kwa huyu mwamba, zile nafasi za magoli wanazokosaga Rashford na Martial huyu mwamba hatofanya huo ujinga, na hii itatusaidia kushinda vikombe.GGMU.
Ijapokuwa hatutegemei kikubwa sana kutoka kwake, lakini tuna furaha ya ajabu amerudi nyumbani.
Once a devil, always a devil.
Tulia mwana Arsenal uandike taratibu, tuliza pressure.CR7 kwa Sasa Hana naajabu