Cristian Ronaldo ndani ya Man U

Bye bye magoli ya penati kwa Bruno Fernandes
 
natangaza rasmi kununua DSTV kwa ma-ex boy friend zangu , sitomsahau "Afred " aje achukue kingamuzi
 
Furaha yetu kubwa mashabiki ni kuona kua mwamba amerudi nyumbani
hatu tegemei kuona maajabu kutoka kwake ila uwepo wake tu ndani ya kikosi cha MU Fc ni Faraja tosha kwa sisi mashabiki kindaki ndaki wa Man Utd

#GGMU #GGMU #GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…