GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Acha tu mkuu napata gadhabu wenzetu arseno wanainjoi wakati tulikuwa kwenye nyakag ngumu pamoja sasa wenzetu wameamka sisi tumelalaKunywa maji kwanza, naona unachapia sana.
Sawa makombe yake yana msaada gani mtambuka,naunga mkono hoja yako ya kocha uchwaraChristiano ana makombe mengi kuliko career nzima ya huyo kocha uchwara wenu
Sasa makombe yake yanatusaidia nini sisi???Christiano ana makombe mengi kuliko career nzima ya huyo kocha uchwara wenu