Cristiani Ronaldo tunamuheshimu na tunathamini mchango wake katika soka

Cristiani Ronaldo tunamuheshimu na tunathamini mchango wake katika soka

GANA BANKS

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
608
Reaction score
872
Kwa sasa atupishe, hakabi. Kwa kifupi ETH sijui anamuogopa, sijui ni mambo ya mikataba? Ila ni kirusi kwa timu yetu, hatufai, anatugghariimu. Ifike mahali aambiwe ukweli amechoka, apumzike.

NB: Nimeumizwa sana na matokeo ya leo.
 
Si kweli mkuu, Pamoja na madhaifu yake, ila timu kama timu ina udhaifu mkubwa sana hasa kwenye kutengeneza nafasi.

Mara nyingi mno Ronaldo anakimbia katikati ya mabeki wa timu pinzani lakini katika mikimbio 10 mmoja tu ndo mtu anaweza ku attempt kupitisha pass kwake.

Rashford game anazoanzia sub ndo huwa anajituma akiingia ila akianza yeye anakuwa mbovu kuliko Ronaldo
 
Alichopoteza Ronaldo ni ushawishi kwenye timu, hapewi kipaumbele hata kidogo, na bahati mbaya pia Ukame wa mabao umemuandama kwahiyo maisha yake yanazidi kuwa magumu
 
Back
Top Bottom