Cristiano Ronaldo aendelea kutisha ndani na nje ya uwanja anunua gari la bei kubwa katika historia ya dunia bilioni 43 hakuna mwingine atakayelinunua

Gari la thamani zaidi kuwahi kuuzwa ni Ferrari 250 GTO

1962 Ferrari 250 GTOwas sold for a record US$48.4 million – the most expensive car ever sold at an auction. The 1962 Ferrari 250 GTO, which was sold for a record US$48.4 million at auction by RM Sotheby's in California last Saturday.
 
Sio mchezo
 
Duu kama kubadili oil tu kwa Bugatti veyron ni $20,000-25,000 ambayo ni sawa na bei ya Toyota Camry sasa sijui hii itakuwa kiasi gani
Ngoja nikajifurahishe Knightsbridge kwa kuyaangalia tu
Piga vizuri hesabu yako muzee, Camry au Prado used?
 
Iv buggati ya 2017 au 2016 si ina speed 500 naitaji elimu iv hiyo ya speed 465 si itakuwa ndogo kwa iyo ya 500 kama nakosea naotaji nieweshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…