Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
mara paaap Kiduku Lilo ndo christiano ronaldo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa barabara hizi za mjomba Magu au unamaanisha itapaa anganiBoss wangu Kiduku Lilo atalinunua na tutaliona mitaa ya ferry
huwezi tembelea hiyo speed hata kwa dakika 20 tu... Hiyo gari lazima iwake moto...Bukoba- dar masaa mawili hatari sana...
Nimecheka. Huyu jamaa anaeza nunua kabisa Mtani.
Yap kwanini ashindwe bwana wakati gari linauzwa bei ya vitafunwa.Nimecheka. Huyu jamaa anaeza nunua kabisa Mtani.
Sio mchezoLijue Gari ghali zaidi duniani, Cristiano Ronaldo atajwa kulinunua
Hili gari, Bugatti La Voiture Noire ndilo gari ghali zaidi katika historia ya dunia, likiwa linagharimu US Dollar Milioni 18.7 sawa na Tsh. Bilioni 43.1.
Gari hili lilizinduliwa Machi 5 mwaka huu kwenye maonyesho ya magari ya kimataifa, Geneva International Motor Show kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa kampuni ya Bugatti.
Wakati wa uzinduzi wake, gari hili tayari lilikuwa limelipiwa na mnunuzi ambaye hakutaka kujulikana. Bwana huyo alilipia gari hilo hata kabla kutengenezwa kwenye kiwanda.
Kuna fununu ambazo zingali hazijathibitishwa kwamba gari hilo lilinunuliwa na nyota wa soka Cristiano Ronaldo.
Gari hili ambalo lina injini yenye ukubwa wa 8,000cc na turbo nne, linabeba abiria wawili na linaweza kuenda kasi ya kilomita 465 kwa saa. Kampuni ya Bugatti ilitengeneza toleo moja pekee ya La Voiture Noire. Hivyo basi hakuna mwingine atakayekuwa na gari sawa isipokuwa aliyenunua hili toleo.
Watu wana hela ila hela hazina watu...mwandae mwanao awe mcheza soka akishindwa masumbwi pesa zipo nje nje.
😀😀😀😀😀😀Hapa nawaza hell ya kwenda kusaga mahindi [emoji24][emoji24]
Ona sasa umeibua presha langu buree! Nyuzi kama hizi muwe mnaleta mwisho wa mwaka.Sio mchezo
Siyo kweli Mtani hiyo pesa ndogo sana kiasi kwamba haitoshi hata kuinunua timu ya wananchi. (hahaha)Aiseee! Christiano Ronaldo sio mtu mzuri kabisa Mtani.
😀😀😀😀Yap kwanini ashindwe bwana wakati gari linauzwa bei ya vitafunwa.
Piga vizuri hesabu yako muzee, Camry au Prado used?Duu kama kubadili oil tu kwa Bugatti veyron ni $20,000-25,000 ambayo ni sawa na bei ya Toyota Camry sasa sijui hii itakuwa kiasi gani
Ngoja nikajifurahishe Knightsbridge kwa kuyaangalia tu
Pigs vizuri hesabu yako muzee, Camry au Prado used?
Meza na piriton kabisa43.1 Biliion Tshs.napigia hesabu ya bus za Yutong hapa,unapata kama basi 215,ngoja nilale tu kwanza sitaki hata kuwaza...
Kiduku yeye anawaonea wauza samaki tu"hakuna mwingine atakayelinunua hapo "Kiduku Lilo ,anakuangalia na kuanza kukucheka,,,,