Cristiano Ronaldo aendelea kutisha ndani na nje ya uwanja anunua gari la bei kubwa katika historia ya dunia bilioni 43 hakuna mwingine atakayelinunua

Kuwa na
Iv buggati ya 2017 au 2016 si ina speed 500 naitaji elimu iv hiyo ya speed 465 si itakuwa ndogo kwa iyo ya 500 kama nakosea naotaji nieweshwe
Kuwa na speed sio kuwa na thamani ..thamani ni materials..mfano ndege ya anovo inachukua abiria Mia 5 na ndege ya Airbus inachukua abiria Mia 4 ...lakini ndege ya Airbus ina bei kubwa kuliko ANOVO .
 
Bongo bongo wafuatao wanaweza wakalinunua tu, sema tatizo ndo gari yenyewe imetengenezwa moja tu.

Rugemaiya yule wa Escro
Singasinga
Rostam Aziz
Mo Dewj
Manji
Bakharesa.

Wapo kibo tu usiogope.
 
Hapo najenga vituo vya mafuta ( sheli) vya nguvu kama 80 hivi na chenji inabaki
 
Nawaambiaga kuna watu tumekuja kusindikiza WATU waishi halafu tufe tuondoke dunian, anatokea mph,.mbv. Anasema sisi binadam wote ni sawa
 
Mkuu lilinunuliwa na nan vile?
 
Bongo bongo wafuatao wanaweza wakalinunua tu, sema tatizo ndo gari yenyewe imetengenezwa moja tu.

Rugemaiya yule wa Escro
Singasinga
Rostam Aziz
Mo Dewj
Manji
Bakharesa.

Wapo kibo tu usiogope.
Hapo umemsahau mfadhili na kocha wa wananchi papaa mwinyi zahera, anapesa Hadi zingine anazisahau!
 
Ona hii
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…