Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
- #41
Kuwa na
Kuwa na speed sio kuwa na thamani ..thamani ni materials..mfano ndege ya anovo inachukua abiria Mia 5 na ndege ya Airbus inachukua abiria Mia 4 ...lakini ndege ya Airbus ina bei kubwa kuliko ANOVO .Iv buggati ya 2017 au 2016 si ina speed 500 naitaji elimu iv hiyo ya speed 465 si itakuwa ndogo kwa iyo ya 500 kama nakosea naotaji nieweshwe