Cristiano Ronaldo aendelea kutisha ndani na nje ya uwanja anunua gari la bei kubwa katika historia ya dunia bilioni 43 hakuna mwingine atakayelinunua

Utakuta billget na jeff bozzes wanatembelea range
 
Acha uzushi uo. Sasa kwanini wengine washindwe kununua? Je hao wanaomfadhili na kumlipa mshahara watashindwaje wao wakiamua kununua?

Ronaldo bado hajawa Tajiri kwenye wanaoitwa matajiri huko ulaya. Ni tajari kwa maskini tu.
 
Mkuu gari hilo limetengenezwa moja tu ...hivo hakuna gari lingine la namna hiyo litakalotengenezwa tena.
 
Mkuu gari hilo limetengenezwa moja tu ...hivo hakuna gari lingine la namna hiyo litakalotengenezwa tena.

Mkuu hilo si jambo la ajabu kwa Majuu. Matajiri wanatengenezesha magari kwa design wanavotaka wao. So sio big deal kabisa.

Yeye Ronaldo amejipiga kabisa na kutumia karibu robo 3 ya mshahara wake kulinunua. Wengine kwao bado zinahisabika ni vijicent tu.
 
Duh!! Lijamaa Lina nunua Gari Kama Lina Nunua Kitumbua vile.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dah mashabiki wa ronado, kichwa cha habari na taarifa yenyewe zinakinzana.

Ni tetec tu mjomba.
 
Kampuni inatimiza miaka mia.......afrika hatupo duniani tunaishi mwezini kuwasindikiza wa duniani
 
43.1 Bilion Tshs.napigia hesabu ya bus za Yutong hapa,unapata kama basi 215,ngoja nilale tu kwanza sitaki hata kuwaza...
Kwa kila moja bei gani ambalo limekamilika mpaka kuingia barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…