Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hahaha.Mzee Wa kuwaonyesha wavuvi balaa la hela baada ya Kutoka gym kufanya zoezi na wageni wake wa sadc
Maana nimeona wakuu wengi wanamtag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.Mzee Wa kuwaonyesha wavuvi balaa la hela baada ya Kutoka gym kufanya zoezi na wageni wake wa sadc
S
Aisee ni sawa tu kwamba tunazaliwa na mwanamke
unamjua billionea Kiduku Lilo sio mtu wa mchezomchezo,,hivi majuzi kanunua private jet ya 2...Yuko sahihi maana ni limetengenezwa moja tuu.Hivyo hakuna mwingine zaidi ya Alie nunua Hilo 1 tuu.
billionea aliyetembelea sinza kwa mara ya kwanza,baada ya kuona maisha ya watu wa sinza akaanza kulia......Kiduku lilo ni nani
Yaani wana gar za kawaida tu lkn zenye securityUtakuta billget na jeff bozzes wanatembelea range
Mkuu gari hilo limetengenezwa moja tu ...hivo hakuna gari lingine la namna hiyo litakalotengenezwa tena.Acha uzushi uo. Sasa kwanini wengine washindwe kununua? Je hao wanaomfadhili na kumlipa mshahara watashindwaje wao wakiamua kununua?
Ronaldo bado hajawa Tajiri kwenye wanaoitwa matajiri huko ulaya. Ni tajari kwa maskini tu.
Mkuu gari hilo limetengenezwa moja tu ...hivo hakuna gari lingine la namna hiyo litakalotengenezwa tena.
43.1 Bilion Tshs.napigia hesabu ya bus za Yutong hapa,unapata kama basi 215,ngoja nilale tu kwanza sitaki hata kuwaza...
Duh!! Lijamaa Lina nunua Gari Kama Lina Nunua Kitumbua vile.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kampuni inatimiza miaka mia.......afrika hatupo duniani tunaishi mwezini kuwasindikiza wa dunianiLijue Gari ghali zaidi duniani, Cristiano Ronaldo atajwa kulinunua
Hili gari, Bugatti La Voiture Noire ndilo gari ghali zaidi katika historia ya dunia, likiwa linagharimu US Dollar Milioni 18.7 sawa na Tsh. Bilioni 43.1.
Gari hili lilizinduliwa Machi 5 mwaka huu kwenye maonyesho ya magari ya kimataifa, Geneva International Motor Show kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa kampuni ya Bugatti.
Wakati wa uzinduzi wake, gari hili tayari lilikuwa limelipiwa na mnunuzi ambaye hakutaka kujulikana. Bwana huyo alilipia gari hilo hata kabla kutengenezwa kwenye kiwanda.
Kuna fununu ambazo zingali hazijathibitishwa kwamba gari hilo lilinunuliwa na nyota wa soka Cristiano Ronaldo.
Gari hili ambalo lina injini yenye ukubwa wa 8,000cc na turbo nne, linabeba abiria wawili na linaweza kuenda kasi ya kilomita 465 kwa saa. Kampuni ya Bugatti ilitengeneza toleo moja pekee ya La Voiture Noire. Hivyo basi hakuna mwingine atakayekuwa na gari sawa isipokuwa aliyenunua hili toleo.
Watu wana hela ila hela hazina watu...mwandae mwanao awe mcheza soka akishindwa masumbwi pesa zipo nje nje.
Kwa kila moja bei gani ambalo limekamilika mpaka kuingia barabarani43.1 Bilion Tshs.napigia hesabu ya bus za Yutong hapa,unapata kama basi 215,ngoja nilale tu kwanza sitaki hata kuwaza...